Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijijini kwetu ni Masaki na sina ndugu wa kumlilia wote mambo yao ni mazuri.
Pengine katika huo muda mrefu alioutumia kushawishi watu wasitumie hayo madawa kuna baadhi yao walibadilika na kuwa clearheaded aidha kwa kuacha kabisa katika hatua zao za mwanzo kabla ya kuanza kuathirika au kwa kuamua kuhudhuria sober homes. Kuna walimu wa ujasiliamali hawana ujasiliamali wowote lakini wanafunzi wao wametumia elimu waliyopewa na hao walimu na kuwa wajasiliamali wakubwa.Kama hiyo ni reference ya utumiaji wa hayo makitu yawezekana kuna jambo la kujifunza. Hebu tujifikirishe kidogo, mbona ni muda mrefu amekuwa akijishughulisha na kuwashawishi watu wasitumie hayo makitu au alikuwa anafanya kinyume chake?
Tatizo ujui nini maana ya mtu kuwa addicted pole sana ila ukipata ndugu yako kawa addicted na unga ndio utakua kwanini RAY C yupo ivi, she needs our help hata kwa maombi tu sizani kama itakupunguzia kituMmmh! .unamhurumiaje mtu asiyejihurumia? Ndo maisha aliyojichagulia ! Kwani mkulu alitumia kiasi gani kumtibia?then?
Lakini mkuu mbona huyu Dada alisharudi katika hali yake ya kawaida tena akaanza kuwashauri na wenzake akina lord eyes waache kutumia mihadarati kilichomfanya arudie tena Kitu gani?Tatizo ujui nini maana ya mtu kuwa addicted pole sana ila ukipata ndugu yako kawa addicted na unga ndio utakua kwanini RAY C yupo ivi, she needs our help hata kwa maombi tu sizani kama itakupunguzia kitu
Labda akipata Mume anaweza kutulia, nadhani hiyo ndiyo njia pekee iliyobaki ya kumsaidiaM ntaanza NA maombi...kwavideo niloona tunakazi mbelekubwa kumkomboa kubwasana lakini tusikate yatamaa..wenye instagram mnaweza search globapublishers AMA obbytheng mtamwona anavyochopolewa NA poliisi usiku mawindoni
Wote hata hao waliotumbukia kwenye janga la mihadarati ni wakuomba Mola awasaidie.kweli kabisa mdau wako watu wengi wanashida hapa duniani kuna wafungwa,wagonjwa,wajane na yatima
Unga sio kama pombe au sigara au kujichua mana ukiwa addicted na unga ni kama kuna kishetani kwa ndani ya moyo kila saa kinataka urudi kwaiyo kutibiwa ni moja ila inabidi na mazingira au style ya maisha ibadilike uwe associated na watu wa dini sana hii itasaidia ila uwezi kuacha afu marafiki wale wale, tusimuhukum bali tumsaidieLakini mkuu mbona huyu Dada alisharudi katika hali yake ya kawaida tena akaanza kuwashauri na wenzake akina lord eyes waache kutumia mihadarati kilichomfanya arudie tena Kitu gani?