Msanii Roma Mkatoliki amevuka mstari mwekundu lakini anachekewa tu!

Kasome maana ya "political tolerance" then ufute huu Uzi umeze vidonge vyako,ulale
 
Huyu wa kukatwa kichwa tu, sio msanii wa kweli
 
Mange aliwavurumisha miaka minne na mlishindwa kumkamata mwisho wa siku aka shake hand na No 2 ambae Leo ndio madam president. Subil Roma ataposhake na Mr arrangement ndipo akili itakukaa sawa
 
Kwani uongo???Hata Magufuri alikuwa anaongoza kwa Remote ya Ali Hassan Mwinyi ili avurunde na kweli alivurunda na hata Mama Samiah atavurunda kweli kweli kama Kikwete ndiyo icon yake.
Usimsingizie mzee wa WATU!

Yaani kwa haiba ya mwinyi YUPO hivo KWELI!!!?

Mi SIDHANI labda alikua anampigia chapuo mwanae kule visiwani!!
 
Acha akili na roho ya Mwendakuzimu wa awamu ya 5. Kama akivuka mstari wapo wahusika watachukua hatua na sio wewe mshamba fulani kuchochea kama Cyprian Musiba. Kamwe mama hataki kwenye utawala wake kuwa na watu kama Musiba. Na pia hana huo mpango wa kuzuia haki ya watu kuongea.
 
Hizo ni akili za watu wachadema wakipewa viroba wanakuwa wehu.
 
Kesho aende kisutu Kwa kumudharau madame kupitia kivuli Cha wimbo wa roma
 
Mimi si CCM Wala chadema, hili niliweke wazi...Ila nikiwekewa CCM na andazi ntachagua andazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vijana wa Kikwete wote wamerudi uwajani, rushwa ya enzi za kikwete zimerudi uwanjani. ukwapuaji wa enzi za kikwete umerudi kama zamani. Mie sioni sababau ya kumlaumu Roma maana dalili zote zinajiontesha
 
Mkuu tatizo unalo na si dogo.
 
Kwakweli CCM na ANDAZI, hapo mimi nachukua andazi, japo ccm nao ni maandazi, basi nimepostpone kuchukua andazi, hata sijui namaanisha nini na mimi.
 
Mleta mada ni mjinga hajui fasihi, vijana wa CCM shule wameenda wapi akina Lucas Mashabwa cjui ni weupe kichwani, ndio hata CAG akileta report yake wengi wanaukwepa
 
Mimi sio shabiki wa Roma.

Ingawa Nina mashaka makubwa sana na uwezo wa Rais wetu kutuongoza , hana uwezo huo. Sio presidential material.

Kuhusiana na influence ya kikwete kwake hilo halikwepeki ; kiuhalisia kikwete ndio Rais pekee mwenye uwezo wa kumshauri aliyebakia.

Mwinyi yupo ila umri haumruhusu kutegemewa katika ushauri.

Ushahidi wa influence ya kikwete katika maamuzi ya Samia unaonekana wazi kabisa hata Haina haja ya kuhangaika kuutafuta.

Angalia tu teuzi zake zote zinatokana na watu waliotumika katika awamu ya nne au watu wa karibu na kikwete.

Hivyo Wala hata hakuna jipya alilolizungumza huyo muimbaji ni mambo ambayo tunayaona kila siku hapa nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…