Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,441
- 15,201
najua unatania...halafu unaenda kuchekea chooni😆😆😆😆[emoji1787] dharau hizo
Rubby mbona pisi ya kwendea, ndiomana Majizo anaifukuzia
Hivi na b dozee ni chuma chake kweli Maji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
najua unatania...halafu unaenda kuchekea chooni😆😆😆😆[emoji1787] dharau hizo
Rubby mbona pisi ya kwendea, ndiomana Majizo anaifukuzia
Hivi na b dozee ni chuma chake kweli Maji?
Aaaah cute hebu tuache unafiki tuwe real,ukiwekewa hapo Kusah na Majay utamchangia nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tuwe tu wakweli jamani, ukweli utatuweka huru
Msaada ni kama ushauri tu mtu ana hiari ya kukupa au kuuchukua ila huwezi kuwa na control na huyo mtu.Nimeona video yake, kaongea mengi pumba, sasa si aache kumuomba majizo msaada? Kila siku unaombwa rushwa ya ngono wewe upo tu huachani nae ukajaribu pengine.
Nilichoshangaa zaidi ni hilo wigi alovaa kasema la gharama kubwa, halijampendeza kafanana na dogi dogi
[emoji1787] Huko sifahamu
Amini kwamba.Nipe kwa codes basi najua unajua [emoji23]
🤣 Hahahah wazi kabisaKati ya wanawake 100 wanaotongozwa 99 wanaliwa, anabaki mmoja, hao 99 hawawezi lalamika maana wameliwa, pengine yeye pekee ndo anakaza, nampa credit, mwache aongee.
najua unatania...halafu unaenda kuchekea chooni[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hajifunzi tu kuwa kuliwa na hensam boy na kuliwa na mtu mwenye connection kuna tofauti kubwa sana. 🤣 Aendelee kukaza hivyo hivyoRuby ni dada m1 mwenye msimamo,hata ruge alimpoteza kwenye industry ya muziki kwa sababu kama hizi kumkomoa ruby akampandisha nandy,ruby alishawahi kuongelea hii kitu
hapo kwenye kupeana hawezi sema maana anajua watz tutaruka naye kwamba boss hakuelewa show 😆 😆Hii lazima nikachekee chooni!![emoji23][emoji23][emoji23]
Rubby aombwe k na Majay akatae thubutu!!
Na inawezekana alimpa sema Majay kagoma kuirudia kaikuta haina maajabu
🤣🤣 🤣 🤣 🤣 Mke wa mtu sumuMi niwe na demu pisi kali kama luku, ya nini kuhangaika na milupo ya nje isiyo na kiwango kama mke wangu? Majizo naye ajue kuwa ruby ni demu wa mtu, atajisikiaje demu wake lulu kuna njemba inamfukuzia? Atulie na mke wake asitake vurugu za kimapenzi
Msanii Ruby ambae siku ya Leo ameenda live Instagram ameonesha kuchukizwa na kutoa ya moyoni dhidi ya Boss wa EFM na ETV anayefahamika kama Fransic Siza a.k.a Majizzo au Majay.
Msanii huyo wa kizazi kipya ametoa kauli ya kutakwa kimapenzi na Boss huyo ambae kwa sasa ameoa mke "Elizabeth Michael".
Kitu ambacho kimeshangaza wengi kwa namna ambayo majizo amekuwa akionekana mbele za umma, kumbe nyuma ya pazia amekuwa akiwaomba rushwa ya ngono ili awapatie support.
Dakika 17 za Mapovu yote ya Rubby
[URL unfurl="true" ,,,,,,,,,,,,="youtube:gXtYhsGOQcM"]
View: https://youtu.be/gXtYhsGOQcM[/URL]
🤣 Hahahah wazi kabisa
Huo ndio ukweli,,,na mimi kama wewe🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka khaaaaaaa
Da Joannah mkorofi wewe!!
Me nitamchagua boss Majay kwa kweli no mara waa. Pesa kwanza mengine yafate
Ndo hapo nimeshindwa kumuelewa huyu dada yetuMsaada ni kama ushauri tu mtu ana hiari ya kukupa au kuuchukua ila huwezi kuwa na control na huyo mtu.
Amini kwamba.
Mzigo angepewa sema sio mzima yuleMimi Binafsi imenishangaza kuona Boss ananyimwa mzigo. Siku zote tumekuwa tukiamini ukiwa na pesa. Unapatiwa Mzigo fresh, ila kwa Majizzo nimeona pesa si kila kitu. Kuna mabinti ambao bado wanajielewa
Anajitia ana msimamo halafu analilia,,,,baada achangamkie fursa apewe connection analeta ujinga wa walamba lips😁😁😁Hajifunzi tu kuwa kuliwa na hensam boy na kuliwa na mtu mwenye connection kuna tofauti kubwa sana. 🤣 Aendelee kukaza hivyo hivyo
Lulu mzuri ushamdinya?? Je kama ni fuko la ramboKuna wanaume hawaridhiki na vitu vizuri walivyo navyo. Majizo ana mtoto mkali lulu, anahangaika na ruby wa nini? Ruby mwenyewe si yule wa wimbo wake wa mwanzo 'na yule' alikuwa pisi kali hasa enzi hizo
Pale juu ya kichwa nywele zipo chache ni kama hakuna nywele halafu hizo zilizoanguka ni kama masikio ya mbwa.Dada la dada, uzuri wako hupindishagi mambo!ila hapo kwenye dogidogi🤣🤣🤣🤣upo sawa kabisa
Wanawake wengi wanaojiita ma super women njia yao iliowatoa ni hio hio. Wana mabiashara makubwa mitaa mbali mbali ya jijini ila wakulungwa tunaelewa Mbunye is the backbone of ze Development!Anajitia ana msimamo halafu analilia,,,,baada achangamkie fursa apewe connection analeta ujinga wa walamba lips😁😁😁
uzuri mange kashamwambia ukweli kwamba sauti anayo ila hana hit song angalia kina zuchu wanavyotrend huko tiktok na vinyimbo vya ajabu haniiii haniiiii...zuchu kakubali kutoa mzigo Ruby hamkuti hata kwa viewersAnajitia ana msimamo halafu analilia,,,,baada achangamkie fursa apewe connection analeta ujinga wa walamba lips😁😁😁