Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

Msanii Ruby ambae siku ya Leo ameenda live Instagram ameonesha kuchukizwa na kutoa ya moyoni dhidi ya Boss wa EFM na ETV anayefahamika kama Fransic Siza a.k.a Majizzo au Majay.

Msanii huyo wa kizazi kipya ametoa kauli ya kutakwa kimapenzi na Boss huyo ambae kwa sasa ameoa mke "Elizabeth Michael".

Kitu ambacho kimeshangaza wengi kwa namna ambayo majizo amekuwa akionekana mbele za umma, kumbe nyuma ya pazia amekuwa akiwaomba rushwa ya ngono ili awapatie support.

Dakika 17 za Mapovu yote ya Rubby
View attachment 2750841
Bado Hamjasema,,
 
Nachokiona Kusah alikimbizwa na njaa zake, sex hailipi bills πŸ˜€ Ruby mipango alikuwa hana. Siku ukielewa gari nzima ndio huvuta mbovu utamuelewa Kusah. Gari 2 mbovu haziwezi kuvutana.
Upo Sahi kabisa.....Hela huna, connection huna,mchongo huna nani anakutaka🀣🀣🀣🀣Kusah akaona Bora akimbilie Kwa Shangazi
 
Upo Sahi kabisa.....Hela huna, connection huna,mchongo huna nani anakutaka🀣🀣🀣🀣Kusah akaona Bora akimbilie Kwa Shangazi
Shangazi kule sio haba, mipango ipo Alphard ya kutembelea weekend ipo mambo ni LG ni kuongeza bidii tu ya GYM na kupaka mkongo mambo wapendayo vijana wa mjini
 
Yote yale yela kama angekubali ikatokea akapata mimba kama Hamissa yaani katumiwa tu basi.

Sio maisha dunia ya sasa hakuna msaada wa bure , binadamu wamebadilika wote sijui Nandy wameliwa kwanza ndio maana wapo ...Dunia sio rahisi kweny mafanikio ya mwanamke kuna changamoto sio kipaji hata awe na elimu majamaa yenye tamaa za kishamba wanapanga kuwachezea mabinti ....

Yupo producer mkongwe hapa alikuwa kweny fire miaka hiyo kula watoto wa watu leo hii kakua mtu mzima mwanae analiwa kama nyama choma ndio anashtuka ,hakuna udhalimu uliofanyw then karma isikuhukumu kuweni makini na maisha...Leo hii kazaa mtoto shule hataki kazi ni wanaume wakati pesa anazo hata za kumsomesha international school.
 
Back
Top Bottom