Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

Ukimsikiliza Ruby clip yake anaongelea tangu enzi za Nyuki Djs,hapo lulu bado anarukaruka na Kanumba,,huyu Ruby asitafute mchawi,mchawi ni mdomo wake....Pale Kwa Nandy ilikuwa nafasi yake ila mdomooooo sijui hajapita mkoleni yule mtoto
Masupasta wa bongo akili zao wanazijua wenyewe,saa hizi wanamvizia bwana wa Hamissa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
NilIkaa siku Moja sehemu Kuna kaka ni jirani Yao na Ruby alikua anamuongelea,yule demu ni jeuri pro max ,dharau za kihaya zile pale zimelala na kuamka ,kibri na jeuri Hana mfano yaani,halafu hajali Wala Nini
Sishangai Kwa hili lililomkuta
 
Kweli na haki nakwambia. I won't give you no favours kama nimekuelewa ila wewe unajifanya hamnazo. Hilo halipo ndio maana huwa tunawalisha lisha kwanza before we hook up. [emoji3]
Nothing goes for nothing [emoji1][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]au siyo mwambaaaa
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mbunye classic zipo kibwena. I wonder mtu kama Majizzo anapataje shida kiasi kwamba aikomalie mbususu mbovu kama ya Rubi ikiwa binafsi tu siwezi kula K mbovu japo similiki redio wala TV kama Majizo..
Mfyuuuuuuuuu
 
Kkkt kimara korogwe hapo ila ndo kuwahi kuamka laa sivyo unakaa nje!

[emoji1787][emoji1787]Looo mbona cocastic ataandamana na hivi anasubiri mkeke [emoji125][emoji125]

Ngoja nifungue PM kwanza nimtafute Countrywide

Mtafute unipe mgawo huo, leo nakuja kulala kwako niwahi ibada asubuhi au utakuwa na Countrywide nisije kuharibu kikao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Lulu mzuri ushamdinya?? Je kama ni fuko la rambo
demu yeyote mzuri hata kama ni fuko la rambo unaridhika tu na huo uzuri wake. Kuna mademu ni wabaya sura hazina mvuto mashine zao ni nzuri zinabana, ukimaliza kuchakata tu hutaki kurudia tena na unajutia imekuaje mpaka umchakate? Kumbe ilikuwa ni pozeo tu
 
NilIkaa siku Moja sehemu Kuna kaka ni jirani Yao na Ruby alikua anamuongelea,yule demu ni jeuri pro max ,dharau za kihaya zile pale zimelala na kuamka ,kibri na jeuri Hana mfano yaani,halafu hajali Wala Nini
Sishangai Kwa hili lililomkuta
Kibri hakijawahi msaidia mtu....yule Ruby hakuwa wa kupigwa gape na Nandy....ila kibri,dharau na jeuri na ujuaji ndio zimemfikisha pale.... sometimes u need humbleness uweze fikia ndoto
 
Back
Top Bottom