Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

Aaaah cute hebu tuache unafiki tuwe real,ukiwekewa hapo Kusah na Majay utamchangia nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tuwe tu wakweli jamani, ukweli utatuweka huru

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka khaaaaaaa
Da Joannah mkorofi wewe!!
Me nitamchagua boss Majay kwa kweli no mara waa. Pesa kwanza mengine yafate
 
Msaada ni kama ushauri tu mtu ana hiari ya kukupa au kuuchukua ila huwezi kuwa na control na huyo mtu.
 
Ruby ni dada m1 mwenye msimamo,hata ruge alimpoteza kwenye industry ya muziki kwa sababu kama hizi kumkomoa ruby akampandisha nandy,ruby alishawahi kuongelea hii kitu
Hajifunzi tu kuwa kuliwa na hensam boy na kuliwa na mtu mwenye connection kuna tofauti kubwa sana. ๐Ÿคฃ Aendelee kukaza hivyo hivyo
 
Mi niwe na demu pisi kali kama luku, ya nini kuhangaika na milupo ya nje isiyo na kiwango kama mke wangu? Majizo naye ajue kuwa ruby ni demu wa mtu, atajisikiaje demu wake lulu kuna njemba inamfukuzia? Atulie na mke wake asitake vurugu za kimapenzi
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ Mke wa mtu sumu
 
๐Ÿคฃ Hahahah wazi kabisa

Mwanamke anayekaa nyuma ya camera na kuongea hayo kwa hisia nampongeza, ana ukweli ndani yake na hicho kitendo kimemuumiza.
 
Hajifunzi tu kuwa kuliwa na hensam boy na kuliwa na mtu mwenye connection kuna tofauti kubwa sana. ๐Ÿคฃ Aendelee kukaza hivyo hivyo
Anajitia ana msimamo halafu analilia,,,,baada achangamkie fursa apewe connection analeta ujinga wa walamba lips๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Kuna wanaume hawaridhiki na vitu vizuri walivyo navyo. Majizo ana mtoto mkali lulu, anahangaika na ruby wa nini? Ruby mwenyewe si yule wa wimbo wake wa mwanzo 'na yule' alikuwa pisi kali hasa enzi hizo
Lulu mzuri ushamdinya?? Je kama ni fuko la rambo
 
Anajitia ana msimamo halafu analilia,,,,baada achangamkie fursa apewe connection analeta ujinga wa walamba lips๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Wanawake wengi wanaojiita ma super women njia yao iliowatoa ni hio hio. Wana mabiashara makubwa mitaa mbali mbali ya jijini ila wakulungwa tunaelewa Mbunye is the backbone of ze Development!
 
Anajitia ana msimamo halafu analilia,,,,baada achangamkie fursa apewe connection analeta ujinga wa walamba lips๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
uzuri mange kashamwambia ukweli kwamba sauti anayo ila hana hit song angalia kina zuchu wanavyotrend huko tiktok na vinyimbo vya ajabu haniiii haniiiii...zuchu kakubali kutoa mzigo Ruby hamkuti hata kwa viewers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ