Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

NilIkaa siku Moja sehemu Kuna kaka ni jirani Yao na Ruby alikua anamuongelea,yule demu ni jeuri pro max ,dharau za kihaya zile pale zimelala na kuamka ,kibri na jeuri Hana mfano yaani,halafu hajali Wala Nini
Sishangai Kwa hili lililomkuta
 
Kweli na haki nakwambia. I won't give you no favours kama nimekuelewa ila wewe unajifanya hamnazo. Hilo halipo ndio maana huwa tunawalisha lisha kwanza before we hook up. [emoji3]
Nothing goes for nothing [emoji1][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]au siyo mwambaaaa
 
Mfyuuuuuuuuu
 
Kkkt kimara korogwe hapo ila ndo kuwahi kuamka laa sivyo unakaa nje!

[emoji1787][emoji1787]Looo mbona cocastic ataandamana na hivi anasubiri mkeke [emoji125][emoji125]

Ngoja nifungue PM kwanza nimtafute Countrywide

Mtafute unipe mgawo huo, leo nakuja kulala kwako niwahi ibada asubuhi au utakuwa na Countrywide nisije kuharibu kikao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Lulu mzuri ushamdinya?? Je kama ni fuko la rambo
demu yeyote mzuri hata kama ni fuko la rambo unaridhika tu na huo uzuri wake. Kuna mademu ni wabaya sura hazina mvuto mashine zao ni nzuri zinabana, ukimaliza kuchakata tu hutaki kurudia tena na unajutia imekuaje mpaka umchakate? Kumbe ilikuwa ni pozeo tu
 
NilIkaa siku Moja sehemu Kuna kaka ni jirani Yao na Ruby alikua anamuongelea,yule demu ni jeuri pro max ,dharau za kihaya zile pale zimelala na kuamka ,kibri na jeuri Hana mfano yaani,halafu hajali Wala Nini
Sishangai Kwa hili lililomkuta
Kibri hakijawahi msaidia mtu....yule Ruby hakuwa wa kupigwa gape na Nandy....ila kibri,dharau na jeuri na ujuaji ndio zimemfikisha pale.... sometimes u need humbleness uweze fikia ndoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…