Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

Majuto ni mjukuu... Uenda Ruby alishindwa kumshikilia majizo kwa sababu labda kwa kipindi hicho hakuona future yoyote kwa majizoo... Wakawake mnatabia moja, mtu akiwa hana future kwa wakati huo mnamuonaga fala tu, mambo yakitiki mnaanza kumpaparukia, unakuta Lulu yeye aliamua kuwa mvumilivu.

Alafu ukicheki hili povu la Lulu limetoka kipindi Majizzo ametoka kuzindua Studio mpya... Ina maana Ruby kuna ka Wivu kameanza kuingia, kuona dhahabu inang'aa baada ya yeye kuchengana nayo [emoji23]
 
Angeanza kwanza kusema (kuwataja) wale aliowakubalia na kuwavulia chupppppi

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kukutana msururu ni mrefu... Wanawake wanatongozwa sana toka enzi za Primary, Secondary, Mtaani, kama kafika chuo na kadhalika... Ukisema ataje utakuta msururu ni mrefu sana, maana kuna wengine wanapewagwa mzigo kama kutunikiwa tu na hawapo kwenye mahusiano
 
Ye atoe ngoma Kali tutaview kwenye platform mbalimbali atapata mkwanja
Ngoma Kali iendane na Promotion pia... Belle 9 katoa Ngoma kali lakini haitembei mjini...

Tukizungumzia Promotion tunamaanisha ipigwe kwenye Club, TV, Radio, Bar, Kwenye Daladala, na kadharika... Sasa ukikosa hii promotion nyimbo hazitembei hata ufanye nini... Ndio maana Diamond yeye aliamua kucheza na hizi fursa baada ya Clouds FM & TV, EATV na media nyingine kuacha kupiga nyimbo zake
 
sasa mwanaume unadeka nini....mwanaume unalambaje midomo....aisee sijui wanawake tunatofautiana machaguoo
wengine tunapenda vijeba mashababi wengine wanakumbatia vikaka vinajichubua
Kupendacho roho ula nyama mbichi... Kila mtu uwa na type zake za wanaume, kuna mwingine anapenda Vijeba, mwingine wembamba, mwingine warefu, mwingine wafupi, mwingine weupe, mwingine weusi, mwingine mabaunsa, mwingine wenye vitambi, mwingine wenye six packs, mwingine wazee, mwingine vijana.

Itategemea na wewe karata yako inaangukia wapi, karata za kina Aunt Ezekiel ndio zinapenda walamba lips
 
I LOOOVE Ruby.

Basata wapp bize na nyimbo za wanaojitambua lakini udhalilishaji wa wasanii wa kike hawana ishu nayo
 
Hiyo ni Kweli,ndio maana kila ukipita unasikia Honeeeeeeeey🤣🤣🤣🤣🤣Ila belle9,aogee chumvi,anajua sana ila Hana nyota...
 

hula nyama mbichi✅
huwa na type zake ✅
 
Halafu Kwa mshkaji anajifanya mlokole😁😁
Atoe makasiriko yake huko
 
I

LOOOVE Ruby.

Basata wapp bize na nyimbo za wanaojitambua lakini udhalilishaji wa wasanii wa kike hawana ishu nayo
Hata TAKUKURU tu, kwa sababu rushwa ni rushwa... Ila naona TAKUKURU wao wamejikita kwenye Rushwa Serikalini tu, na rushwa zenyewe mpaka ziwe za kuchomeshana... Huku kwenye sanaa uwezi kusikia hizi mambo
 
Umechunguza kujua hayo?
Kikubwa haya aliyoyaongea yafanyiwekazi.
Wasanii wa kike wanapitia magumu mno kwa sababu mbili
1. Rushwa ya ngono
2. Jamii yenye mawazo na fikra kama zako
 
Mtoto Ruby analalamika kaombwa mazigo ila hapo hapo anataka support jamani 🤣🤣🤣
 
Alikuwa anamchukulia poa,eti nitoke na dj wa kazi gani?saa hivi Majizzo Kawa MD anampigiapigia simu he heeeee heeeeee Dunia hii
 
Hiyo ni Kweli,ndio maana kila ukipita unasikia Honeeeeeeeey🤣🤣🤣🤣🤣Ila belle9,aogee chumvi,anajua sana ila Hana nyota...
Yeah absolutely... Uwezi kusikia wasanii wengine wasiofanya Kiki au kuwa Chawa wa TV na Radio fulani wanafanya vizuri... Hapa mjini hili utembee kimziki unatakiwa uwe Chawa wa Radio au TV fulani, au kama ni Mwanamke basi wakuvue sana ndio nyimbo zako zitembee... Sasa hivi Zuchu ndio anachezewa, akiisha kimziki anapigwa chini... Sallam SK mwenyewe aliwahi kuhojiwa na Radio moja nimesahau jina akasema Msanii kama Zuchu kujitoa kwenye Lebo ni gharama sana, hivyo inabidi hatumike sana kwa Diamond ili ku-compansate gharama za kujitoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…