cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Nandy anaenda juu wapi? Hata East Africa kutoboa bado. LolMwambie afanye muziki mzuri mbona nandi. Anaenda Juu Mtu unabidi ujitoe katika kundi la walalamikaji.
Mademu wa Tz wajifunze kwa nandi namna anavyopambana baada ya kulishwa Maarifa na Ruge mutahaba.