TANZIA Msanii Sajuki afariki dunia

TANZIA Msanii Sajuki afariki dunia

Alikuwa na shida kwenye figo/mapafu. Alitkwenda kutubiwa India kwa muda mrefu kidogo, alipata nafuu. Ila hapa majuzi aliondoka jukwaani wakati anawasalimia mashabiki, nadhani tangu aiku hiyo hajanyanyuka tena.
RIP brother Sadiki Juma Kilowoko (SAJUKI)

Nianzie hapo kwenye red,Sajuki alikwenda India kutibiwa,baada ya kurudi akaonekana kuchangamka kidogo(alirudi tofauti na jinsi alivyo ondoka).Lakini kwa upande mwingine nawalaumu wale wote walio enda kumtembeza mikoani,ili waweze kupata pesa,ukizingatia alikuwa bado mdhaifu sana,sio mtu wakumzungusha hapa na kule,ilitakiwa apumzike kwa muda mrefu sana,ndipo aendelee na shughuli nyingine,sasa ,mara utasikia yupo arusha,mara mwanza,kwa hali yake haya mambo ya kupanda majukwaani yalikuwa bado,ili bidi ajitazamie kwanza,Lakini ndio hivyo kuna wajanja wachache ambao wanapenda kutumia mianya ya ugonjwa wa mtu ilikuweza kujunifuisha,na kiasi kidogo kumpatia muhusika(mgonjwa),hii kitu inakuja kwa kasi sana bongo,watapigana vikumbo sasa hivi ili kila mmoja apate mwanya wa kuandaa mazishi,watatoa namba za simu na kadharika,hii yote ni mianya tu ya wachache.Mwisho sisi tulimpenda,lakini mungu amempenda zaidi,apumzike kwa amani.
 
Aisehhhhhhh !!!
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    20.2 KB · Views: 93
  • image.jpg
    image.jpg
    19.5 KB · Views: 87
Inauma sana juzi ametoka kutibiwa india leo ametutoka jamani anyway R.I.P sajuki,
wasanii wetu wanaendelea kupata changamoto sana mungu awasaidie
 
Mimi nimesikia startv muda huu.Kapumzike Sajuki mateso uliyopata yanatosha!R.I.P
 
Asubuhi ya leo kuna taarifa kwenye magazeti kuhusu ugonjwa uliokuwa unamsumbua.Wanasema jopo la madaktari wa Muhimbili waliochunguza ugonjwa wake wamebaini alikuwa anasumbuliwa na saratani ya ngozi.Mungu ampumzishe mahali pema peponi.Amen
 
RIP Sajuki. Wastara, pole sana. Ama kweli u mwanamke jasiri. Mungu akuzidishie ujasiri katika kulikubali hili na changamoto nyingine katika maisha yako.
 
Jumatatu nimetazama kipindi cha Mkasi na kwa kweli jamaa atakuwa amepata mateso sana kutokana na kuugua kwake, binafsi nilitumaini amekata rufaa ya kifo kumbe ilikuwa bado!!
APUMZIKE KWA AMANI SAJUKI.
 
am sory guys bt i still cnt blv dat dnt knw y may b coz juz nimemuona kwenye mikasi,seriaz am still in shork dnt knw wat to blve
 
Kila mtu ameona ulivyojaribu kupigania uhai wako lakini mwenyezi Mungu alipenda upumzike sasa.r.i.p Sajuki
 
Back
Top Bottom