TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
..kwa maoni yangu, Sugu na Prof walikuwa wameanza kufifia ktk tasnia ya muziki. Hivyo basi ubunge uliwapatia shughuli ya kufanya baada ya kuwa wamefifia kimuziki.
Waweza kuwa sahihi kabisa. Lakini tuwe wakweli, kumtoa Zitto Kabwe bungeni ili wamuingize Diamond jee watu wa Kigoma watakuwa wanatumia akili au kuchenguka na viuno tuu? Zitto ambaye kuna majimbo yangejisikia fahari kuwa naye Leo Kigoma wanamuona hana hadhi ya kuhushimika Bali Diamond?Huwezi kumnusuru Zitto dhidi ya Diamond Plutnumz kwa thread ya kijinga kama hii.
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Atakuwa alijisahauHakuna tena strategists wa kueleweka kwenye huo upande ndiyo maana wanatuletea vikosi dhaifu mitandaoni eti vikosi hivi ndivyo vya kubadili upepo...wa maoni kuelekea kuunga mkono huo upande!
Wasubiri majibu ya wananchi baadaye mwaka huu.
Umemsoma vizur ukamuelewa?Kuna watu wanafiki hadi wanakera. Mfano ni huyu Salary Slip. Kwake yeye Sugu na Prof. Jay kuwa wabunge wa Chadema ni sawa kabisa na haipukunguzi umaarufu wao wala pesa zao. Lakini kwa Diamond kuongea na Rais anakujakuja humu kuloloma! Sijui kwanini watu kama hawa "hawapotei"!!
Hofu imekutawalaSanaa inaakuunganisha na jamii, ila siasa inaweza kukutenga na kundi fulani katika jamii.
Wewe ulimwelewa?
Hii hofu yoote ni kwa kumpoteza Zitto Kabwe bungeni?
Mbona Sugu na Prof Jay hamuwaongelei?
Chadema acheni kutapatapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe diamond amewahi kuwa mbunge jimbo gani,mpaka ukahisi hafai kabisa?Waweza kuwa sahihi kabisa. Lakini tuwe wakweli, kumtoa Zitto Kabwe bungeni ili wamuingize Diamond jee watu wa Kigoma watakuwa wanatumia akili au kuchenguka na viuno tuu? Zitto ambaye kuna majimbo yangejisikia fahari kuwa naye Leo Kigoma wanamuona hana hadhi ya kuhushimika Bali Diamond?
Nyerere aliwahi sema zuzu anaweza kumiliki kipande cha Vito vya almasi lakini ukamdanganya na kumpa kipande cha chupa akupe Vito na akachekelea.
Maana yake Wakigoma wamekuwa mazuzu kubalilishiwa na wanachekelea? Sidhani kama wako hivyo!
Diamond na Harmonise ni watu wazima wenye kujua jema na baya...usitumie maneno makali, wala usijadili kwa hasira ili twende pamoja.
kwanini nadhani ilikuwa sahihi kwa Sugu na Prof.J kugombea ubunge?
..kwa maoni yangu, Sugu na Prof walikuwa wameanza kufifia ktk tasnia ya muziki. Hivyo basi ubunge uliwapatia shughuli ya kufanya baada ya kuwa wamefifia kimuziki.
Kwanini naamini Diamond na Hamornize hawapaswi kugombea ubunge sasa hivi?
..Kwa mtizamo wangu, hawa wako ktk KILELE cha mafanikio ktk muziki. They are doing so well na mimi nadhani ni afadhali tuwa-encourage waendeleze muziki wao kuliko kuingia ktk shughuli za kisiasa.
Diamond na Harmonize washiriki vipi ktk uchaguzi wa 2020?
..kwa maoni yangu waipigie kampeni CCM. Lakini wasikubali kutumikishwa bila MALIPO.
Hapimwi mtu kuwa anafaa au hafai eti mpaka apewe kazi hiyo kwanza, uelewa wake juu ya mambo ya kazi iliyo mbele yake ndio kipimo.wewe diamond amewahi kuwa mbunge jimbo gani,mpaka ukahisi hafai kabisa?
Amina!
anatakiwa mbunge aweje?Hapimwi mtu kuwa anafaa au hafai eti mpaka apewe kazi hiyo kwanza, uelewa wake juu ya mambo ya kazi iliyo mbele yake ndio kipimo.
Au mnataka muendelezo was wabunge kama Deo Sanga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Una elimu gani? Ya akhera au ya duniani? Ulienda shule kupata maarifa au kutimiza wajibu?Tunachoangalia ,wasanii hao tayari ni wabunge nje ya bunge wanaosubiri kuapishwa tu mengine mtajua huko ukawa.
Waweza kuwa sahihi kabisa. Lakini tuwe wakweli, kumtoa Zitto Kabwe bungeni ili wamuingize Diamond jee watu wa Kigoma watakuwa wanatumia akili au kuchenguka na viuno tuu? Zitto ambaye kuna majimbo yangejisikia fahari kuwa naye Leo Kigoma wanamuona hana hadhi ya kuhushimika Bali Diamond?
Nyerere aliwahi sema zuzu anaweza kumiliki kipande cha Vito vya almasi lakini ukamdanganya na kumpa kipande cha chupa akupe Vito na akachekelea.
Maana yake Wakigoma wamekuwa mazuzu kubalilishiwa na wanachekelea? Sidhani kama wako hivyo!
Kwani hujui mbunge anaenda Bungeni kufanya kazi gani? Kutunga sheria na sio kubwabwaja!anatakiwa mbunge aweje?
Kweli kabisa! Kigoma kuwa eneo masikini lakini CCM isiwadhanie kuwa Kigoma wana umasikini wa akili kiasi hicho.Mkuu @Chakaza,siamini na kamwe sitaweza kuamini kuwa Diamond anaweza kushinda ubunge hapo kigoma dhidi ya yeyote,narufia tena YEYOTE,(kukiwa na uchaguzi huru na wa haki),sembuse ZZK.
Naamini wana Kigoma hawawezi kuwa wapumbavu kiwango hicho.