Msanii tajiri jiingize kwenye siasa pale uwezo wako unaposhuka kama ambavyo wanasoka maarufu huhamia ligi za Uarabuni au Asia kumalizia soka lao

Msanii tajiri jiingize kwenye siasa pale uwezo wako unaposhuka kama ambavyo wanasoka maarufu huhamia ligi za Uarabuni au Asia kumalizia soka lao

Kuna watu wanafiki hadi wanakera. Mfano ni huyu Salary Slip. Kwake yeye Sugu na Prof. Jay kuwa wabunge wa Chadema ni sawa kabisa na haipunguzi umaarufu wao wala pesa zao. Lakini kwa Diamond kuongea na Rais anakujakuja humu kuloloma! Sijui kwanini watu kama hawa "hawapotei"!!
Umesoma ukaelewa?Hao uliowataja kwanza sio wasani waliopata utajiri kama niliowalenga kwenye huu uzi, na pia hao uliowataja hawajaingia kwenye siasa kutumikia watala wanaotesa raia wao kwa maisha magumu,n.k.

Isitoshe,wakati wanaingia kwenye siasa hawakuwa katika viwango vya juu bali walikuwa ni wasanii wa kawaida tu ila wenye majina katika hiyo fani.
 
Back
Top Bottom