Msanii tajiri jiingize kwenye siasa pale uwezo wako unaposhuka kama ambavyo wanasoka maarufu huhamia ligi za Uarabuni au Asia kumalizia soka lao

Umesoma ukaelewa?Hao uliowataja kwanza sio wasani waliopata utajiri kama niliowalenga kwenye huu uzi, na pia hao uliowataja hawajaingia kwenye siasa kutumikia watala wanaotesa raia wao kwa maisha magumu,n.k.

Isitoshe,wakati wanaingia kwenye siasa hawakuwa katika viwango vya juu bali walikuwa ni wasanii wa kawaida tu ila wenye majina katika hiyo fani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…