Msanii Vitalis Maembe anadaiwa kukamatwa kwa tuhuma za “kuimba nyimbo za kuitukana Serikali”

Mama anaupiga mwingi...Safi sana chadema mkome kbs tuliwaambia bora ya magu mkatuona hatufai
 
Tanzania ni kisiwa cha amani.
 
Huyu jamaa wamehangaika nae kitambo sana. Kama ni kweli hili limefanyika tena basi Serikali itakuwa imefanya jambo la 'Kipuuzi'
Mkuu wewe ndiye unaliona la kipuuzi lkn wenyewe wanaliona ni la kishujaa sana
 
"Kasali",wimbo mzuri sana,mama kuwa makini usifuate nyayo za jiwe
 
......Kaizari kachukua yake ...na yetu anaipora!!!.

Nyama zimevuja , mchuzi umebaki.

Huyu jamaa noma Sana.

What a figurative language!! Ujumbe umefika vizuri kabisa. Na ni murua kwakua umejitenga na Uvyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…