TANZIA Msanii wa Bongo Flava, Haitham Kim afariki dunia

Duuuuh shiha vapes πŸ›΅πŸ’¨πŸ’¨πŸ’¨πŸ’¨πŸ’¨πŸ’¨
Sababu tunaishi Mara 1 na tunakufa Mara 1 kila mtu atakufa vile alivyoandikiwa afe, mwingine atakufa kwa gari mwingine kwa kupigwa risasi mwingine kuanguka jukwaani mwingine kitandani mwingine akanyagwa na tembo mwingine kiSu Ngura tu kinamuua
 
You are either stupid, dumb or both. Pompous fool. Kama huelewi hata maana ya sanaa, hilo bichwa lako unalitumia kama mfuniko wa mwili.

Tushajua haupo Tanzania, you can relax now.
Sina muda wa kujibishana au kutukanana na watu wajinga kama wewe. Hunijui sikujui. Kila mmoja hapa ana uhuru wa kusema anachotaka, frustration zako za maisha zisikusababishe kuvunjia heshima watu usiowajua. Kuwa mstaarabu. Kama nilivyosema mwanzo, sina muda wa kupoteza na watuu kama wewe, so kwa upande wangu haya maongezi na wewe yamefikia tamati sita respond lolote usemalo.
 
Kweli aiseee kila mtu afanye anachopenda kufanya
That's how it is sababu hakuna mwenye dawa ya kifo hakuna mwenye uwezo wa kukikimbia kifo hata awe nani hata awe mwema kiasi gani lazima siku moja atakufa na wote tunaochat hapa after 10 years baadhi tutakua tumeshawafukiwa ardhini hata Mimi nikiwemo maana sijui nakufa lini.. Safari yetu ni moja
 
Makonda alipiga marufuku shisha watu wakampinga na kumwona dikteta
 
Rest easy baby gal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…