TANZIA Msanii wa Bongo Flava, Haitham Kim afariki dunia

Vijana wengi wanajazana upumbavu
 
Fake till her death
Kasoro Mapenzi walipendana Kweli na mmewe hakuwaga na skendo yoyote na wameishi pamoja SIKU nyingi na niite bosheni hakua mtu Wa drama drama yule dar hapo Ndo NilIkua napenda kama aliweza ishi na mchora tattoo ambae anachora almost mastaa wote wa Tanzania,Sehemu korofi korofi na Bado walikua pamoja mpk kifo Hawa watu walipendana sana
 
Ila utakufa tu..unaweza kufa kwa kupigwa mtungo..usimdhihaki aliyekufa kwa kula bata unaweza kufa kwa kupigwa mtungo wahuni wakazibua mtaro mpaka ukafa
Sijasema kama sitakufa brother Kila mtu ana kifo chake na sijamdhihaki marehemu sisi tunaambiwa tuombe Mwisho mwema siku zote!!!Km nimepangiwa hvyo baasi ni qadar ingawa tunaomba Mungu atuepushe na hilo
 
Much respect bro
 
Watu huwa wanaongea kwasababu wana mdomo.... Maradhi uyasikiege kwa watu tu... Mtu wako wa karibu akiumwa siriaz mwezi mmoja huwa ni wachache sana wanamudu....
 
Kuna zile Shisha za kielectronic.. kama vipeni hivi, kuna Ex wangu namuangaliaga sana status zake namsubiria tu.

Wazee.. kabla ya kuoa hawa wanawake unapeleka kuwachunguza MAPAFU na Via vya Uzazi.
😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…