TANZIA Msanii wa Bongo Flava, Haitham Kim afariki dunia

Mt
Apumzike kwa Amani
 
Si nimesoma hapa kuhusu wito wa kumchangia huyo Msanii kutoka kwa baadhi ya Wasanii wenzake?

Kama sababu ya kifo chake ni Uraibu wa kuvuta Shisha kama walivyochangia baadhi ya watu hapa Jamvini

Kuna Haja, Vijana wenye huo mtindo wa maisha wakabadirika.

Kumekuwa na wimbi la Vijana wengi wenye umri kati ya miaka 18 - 35 kuvuta sana Shisha.

Kwa kweli kama hazitachukuliwa jitihada thabiti, miaka kadhaa mbele kutakuwa na vifo vingi vitakavyokuwa na Mahusiano na Shisha, Pombe kali n.k
 
Wanaenda na wakati
Na ukiwaambia wanakuambia ni starehe,siyo dhambi.
 
Hujazoea kifo tu ? Kama visababishi basi watu wasiendeshe magari ,wasipande ndege wala meli ,wasile vyakula vya mafuta au vinjwaji vya viwandani kwa sana.

Excessive of anything is harmful ,kifo tunaishi nacho kwa kila tendo unalofanya unaweza kujipelekea kweny kifo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…