TANZIA Msanii wa Bongo Flava, Haitham Kim afariki dunia

kwa kweli aisee
700k ilikosekana
kwenye msiba atachangiwa 50m wa wavuta shisha wenziwe
Member mwenzenu huyo 🥲
C.c Moderator msisahu R.I.P
Screenshot_20230901-140607.png
 
Mt
View attachment 2735617
Mwimbaji wa Bongofleva Haitham Kim ambaye hivi karibuni Wasanii na Wadau wengine walianzisha kampeni ya kusaidia kuchangisha pesa kwa ajili ya matibabu yake amefariki leo katika Hospitali ya Rufaa ya Temeke Jijini Dar es salaam.

BNB ambaye ni Rafiki wa Mume wa Marehemu na ambaye ilimkuta Hospitali juzi wakisaidiana kumuuguza Haitham, amethibitisha kuwa ni kweli Haitham amefariki leo Hospitalini hapo.

Bryson ambaye ni Mume wa Marehemu alisema hali ya Haitham ilibadilika ghafla siku saba zilizopita akisumbuliwa na upumuaji ambapo ilianza kama homa ya kawaida lakini baadaye akawa anakosa pumzi hadi kupelekea kuwekewa mashine na kuchomwa sindano za kila siku zinazogharimu shilingi laki 7 kwa siku.
Apumzike kwa Amani
 
Si nimesoma hapa kuhusu wito wa kumchangia huyo Msanii kutoka kwa baadhi ya Wasanii wenzake?

Kama sababu ya kifo chake ni Uraibu wa kuvuta Shisha kama walivyochangia baadhi ya watu hapa Jamvini

Kuna Haja, Vijana wenye huo mtindo wa maisha wakabadirika.

Kumekuwa na wimbi la Vijana wengi wenye umri kati ya miaka 18 - 35 kuvuta sana Shisha.

Kwa kweli kama hazitachukuliwa jitihada thabiti, miaka kadhaa mbele kutakuwa na vifo vingi vitakavyokuwa na Mahusiano na Shisha, Pombe kali n.k
 
Wanaenda na wakati
Na ukiwaambia wanakuambia ni starehe,siyo dhambi.
 
Si nimesoma hapa kuhusu wito wa kumchangia huyo Msanii kutoka kwa baadhi ya Wasanii wenzake?

Kama sababu ya kifo chake ni Uraibu wa kuvuta Shisha kama walivyochangia baadhi ya watu hapa Jamvini

Kuna Haja, Vijana wenye huo mtindo wa maisha wakabadirika.

Kumekuwa na wimbi la Vijana wengi wenye umri kati ya miaka 18 - 35 kuvuta sana Shisha.

Kwa kweli kama hazitachukuliwa jitihada thabiti, miaka kadhaa mbele kutakuwa na vifo vingi vitakavyokuwa na Mahusiano na Shisha, Pombe kali n.k
Hujazoea kifo tu ? Kama visababishi basi watu wasiendeshe magari ,wasipande ndege wala meli ,wasile vyakula vya mafuta au vinjwaji vya viwandani kwa sana.

Excessive of anything is harmful ,kifo tunaishi nacho kwa kila tendo unalofanya unaweza kujipelekea kweny kifo...
 
Back
Top Bottom