Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa kweli aisee
Member mwenzenu huyo 🥲700k ilikosekana
kwenye msiba atachangiwa 50m wa wavuta shisha wenziwe
kafanyajeJesus
Sasa anaenda kuishi real life futi 6Everything about her is artificial. She lived a fake life.
team dragon 🥴🥴700k ilikosekana
kwenye msiba atachangiwa 50m wa wavuta shisha wenziwe
Apumzike kwa AmaniView attachment 2735617
Mwimbaji wa Bongofleva Haitham Kim ambaye hivi karibuni Wasanii na Wadau wengine walianzisha kampeni ya kusaidia kuchangisha pesa kwa ajili ya matibabu yake amefariki leo katika Hospitali ya Rufaa ya Temeke Jijini Dar es salaam.
BNB ambaye ni Rafiki wa Mume wa Marehemu na ambaye ilimkuta Hospitali juzi wakisaidiana kumuuguza Haitham, amethibitisha kuwa ni kweli Haitham amefariki leo Hospitalini hapo.
Bryson ambaye ni Mume wa Marehemu alisema hali ya Haitham ilibadilika ghafla siku saba zilizopita akisumbuliwa na upumuaji ambapo ilianza kama homa ya kawaida lakini baadaye akawa anakosa pumzi hadi kupelekea kuwekewa mashine na kuchomwa sindano za kila siku zinazogharimu shilingi laki 7 kwa siku.
Usione wivu; jaribu shisha unaweza kukutana naye huko.Namuonea wivu.
Kuna jamaa namnukuu alisema "suala la afya ni jukumu lako, ila jukumu la msiba wako ni juu yetu." mwisho wa nunukuu.700k ilikosekana
kwenye msiba atachangiwa 50m wa wavuta shisha wenziwe
shenzi sana hawa, wanapost picha wakiogea maziwa ya asas huko instaKuna jamaa namnukuu alisema "suala la afya ni jukumu lako, ila jukumu la msiba wako ni juu yetu." mwisho wa nunukuu.
Wanaenda na wakatiSi nimesoma hapa kuhusu wito wa kumchangia huyo Msanii kutoka kwa baadhi ya Wasanii wenzake?
Kama sababu ya kifo chake ni Uraibu wa kuvuta Shisha kama walivyochangia baadhi ya watu hapa Jamvini
Kuna Haja, Vijana wenye huo mtindo wa maisha wakabadirika.
Kumekuwa na wimbi la Vijana wengi wenye umri kati ya miaka 18 - 35 kuvuta sana Shisha.
Kwa kweli kama hazitachukuliwa jitihada thabiti, miaka kadhaa mbele kutakuwa na vifo vingi vitakavyokuwa na Mahusiano na Shisha, Pombe kali n.k
Muda wa kuona maisha yake halisi.700k ilikosekana
kwenye msiba atachangiwa 50m wa wavuta shisha wenziwe
Hujazoea kifo tu ? Kama visababishi basi watu wasiendeshe magari ,wasipande ndege wala meli ,wasile vyakula vya mafuta au vinjwaji vya viwandani kwa sana.Si nimesoma hapa kuhusu wito wa kumchangia huyo Msanii kutoka kwa baadhi ya Wasanii wenzake?