TANZIA Msanii wa Bongo Flava, Haitham Kim afariki dunia

Mkuu hakuna mzembe kwenye kifo. Ila maisha ya anasa wanayojidai wanaishi sio mazuri.

Hasa girls wengi wao wanakua hawana backup zaidi ya kujitapa huko insta.
Ukipata tatizo ndo kama hivo watu wanabeza kutoa msaada badala yake wanaanza kejeli na matusi coz uliwadharau mwanzo halafu ukipata shida unaomba usaidiwe nao tena.

Hup mfano Prof jay hauendani na huyo bibie mkuu, prof alichangiwa si haba aisee.
 
Alikuwa msanii wa nini?
 
Sijui nazeeka au vipi, huyu Dada nimemjuwa akiwa anaumwa anaombewa michango, sikuwahi kumsikia.

Kweli kuna marehemu maarufu na kuna wanaoishi na umaarufu mfano DJ Choka sijuwagi umaarufu wake ulitokana na nini, sionagi la maana alilokuwa anafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…