Msanii wa bongo fleva na mwana JF BEIRA BOY Anawatakia kheri ya krismas na mwaka mpya


Toka nimejiunga JF nadhani wewe nimekuona mara nyingi sana kila nikiingia, ila thread zako ni nusu komedi nusu serious.

Hivi huwa unawaza nini mkuu kuanzisha uzi?

BTW, Asante, heri na kwako.
 
[emoji1] [emoji23] mziki mgumu maaaan usifikirie kama unaimba singeliiiii....
 
Mkuu msalimie mobeto niulizie hivi mtoto hunyonyesha saa ngapi?
Merry Xmas to you!
Mtoto huwa anakula vyakula vyenye lishe mkuu humuon alivyonenepa siku hiz na anakaa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…