monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Itupie hapa hiyo single tukamatie mkuuKuna colabo moja niko na mnyama Ray van boy kutoka pale WCB
Anahia ndo kitu gan mgen wa jiji
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu
Msanii wa kizazi kipya BEIRA BABY BOY ambaye yuko chin ya uongoz wa MOBETTO MUSIC View attachment 657976
Pia ni mwana jamiforum anawatakia kheri ta krismas na mwaka mpya
Beira ambaye ngoma yake ya kwanza itatoka tarehe 5 mwez wa kwanza na itatambulishwa na boss wake hamisa mobeto audio itatambulishwa clouds na video itatambulishwa EATV kwa samisago
NAWATAKIA KHER YA KRISMAS NA MWAKA MPYA
LONDON BOY
Hapana mkuu usiseme hivyo kuna watu kama akina maneno wanasimamia wasanii wakubwa lakin hawawez kujisimamia wenyeweImekula kwako, eti unasimamiwa na Hamisa Mobeto.....basi umekwisha. Nasema hivyo kwani huyo Hamisa hajuwi kujisimamia yeye mwenyewe leo hii aje akusimamie wewe?