Tetesi: Msanii wa Bongo Movie, Batuli lamkuta jambo, augua ghafla na kukimbizwa hospitalini

Hahahahahah Basi uncle Pasco itabidi upewe tuzo ya uvumilivu .

Ila sipati picha jinsi mate yalivyokuwa Yana kutoka 🤣🤣

Batuli ni zile pisi za mjini anaepumzika hapo apewe sifa

Asap
 
Hahahahahah Basi uncle Pasco itabidi upewe tuzo ya uvumilivu .
Ila sipati picha jinsi mate yalivyokuwa Yana kutoka
Batuli ni zile pisi za mjini anaepumzika hapo apewe sifa
Asap
Mkuu Masigazi, kiukweli namshukuru sana Mungu,
sisi wengine tumejaaliwa, kula kwa macho tuu na kutosheka bila mate kutoka.
P
 

Hivi huyu naye ni bongo. movie.mbona simfahamu
 
Itakuwa Mungu kampa vyakutosha lakini kamnyima tabia njema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajioni mzuri huyo demu ni chuma kikali tena kwenye picha kama mbaya hivi!!na hapo kazaa watoto 2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi aliwahi kuolewa Kuna picha niliona amepostiwa binti mkubwa anaweza kuwa wa batuli Ila huwa ana mficha huyo binti aweza kuwa secondary hivi, Nika wonder why anafichaga watoto wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Amewahi kuoelewa. Ndio mbona huwa ana wapost sema huwa ana mpost wakiume sana!!bonge hivi ana kama 12yrs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…