Tetesi: Msanii wa Bongo Movie, Batuli lamkuta jambo, augua ghafla na kukimbizwa hospitalini

Tetesi: Msanii wa Bongo Movie, Batuli lamkuta jambo, augua ghafla na kukimbizwa hospitalini

Kama mtu unampigiaga nyeto halafu gafla kajileta wacha nirogwe tu kwanza mzuri kwa kila kitu kakamilika
 
Kirusi hakina ubaguzi wala uchaguzi
.......eti anapiga kelele kama mamajusi wa mashariki [emoji23] [emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wanazengo wanasema bibie ni mwalimu wa kuiba waume za watu , Na nasikia akimpata mume wako anamroga mpaka basi , yani bingwa wa kuiba waume za watu na ni mchawi kupitiliza.

Umbea unaozagaa kwa sasa, Kuwa Msanii huyo aliingia kwenye himaya ya watu , na mke wa mwanaume aliyemuiba hakukubali na kuakikisha anampiga zongo la maana.

Nasikia hali ya Batuli hivi sasa sio nzuri, anashinda hospital toka juzi , huku ndugu zake wakihangaika ni kitu gani kinamsumbua, wanazengo wanasema karogwa vibaya na hali yake sio nzuri kabisa, Kwani anashinda akipiga makelele kama mamajusi wa mashariki.

Jamani isije tu ikawa Corona nyie mnasema karogwa.

Ila shoga nae alizidi kuiba waume za watu , khaa, halafu alikua anajisifu kabisa kwa wake aliowaibia waume kuwa yeye ni mtamu, kama kweli karogwa watakua wamemnyoosha kisawa Sawa.View attachment 1430162



Sent from my iPhone using JamiiForums
Tumekula wengi Sana hapa
 
Back
Top Bottom