Tetesi: Msanii wa Bongo Movie, Batuli lamkuta jambo, augua ghafla na kukimbizwa hospitalini

Tetesi: Msanii wa Bongo Movie, Batuli lamkuta jambo, augua ghafla na kukimbizwa hospitalini

Wanazengo wanasema bibie ni mwalimu wa kuiba waume za watu , Na nasikia akimpata mume wako anamroga mpaka basi , yani bingwa wa kuiba waume za watu na ni mchawi kupitiliza.

Umbea unaozagaa kwa sasa, Kuwa Msanii huyo aliingia kwenye himaya ya watu , na mke wa mwanaume aliyemuiba hakukubali na kuakikisha anampiga zongo la maana.

Nasikia hali ya Batuli hivi sasa sio nzuri, anashinda hospital toka juzi , huku ndugu zake wakihangaika ni kitu gani kinamsumbua, wanazengo wanasema karogwa vibaya na hali yake sio nzuri kabisa, Kwani anashinda akipiga makelele kama mamajusi wa mashariki.

Jamani isije tu ikawa Corona nyie mnasema karogwa.

Ila shoga nae alizidi kuiba waume za watu , khaa, halafu alikua anajisifu kabisa kwa wake aliowaibia waume kuwa yeye ni mtamu, kama kweli karogwa watakua wamemnyoosha kisawa Sawa.View attachment 1430162



Sent from my iPhone using JamiiForums
Ila uyo binti yuko gado,nilipata mtizama kwenye luninga kipindi cha biko alikua akitangaza Kama sijakosea akishirikiana na mpoki

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Ila uyo binti yuko gado,nilipata mtizama kwenye luninga kipindi cha biko alikua akitangaza Kama sijakosea akishirikiana na mpoki

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
We unamzungumzia kajala na sio batuli.
 
Back
Top Bottom