Ni confirmed jamaa amekufa kwa Dengue..
Mwigizaji na muongozaji wa filamu hapa Tanzania ADAM PHILIP KUAMBIANA amefariki Dunia muda huu kwa ajali ya gali iliyotokea sinza muda sio mrefu nitarudi baadae kwa Habari zaidi ....
Pichani mwili wa marehemu ADAM PHILIP KUAMBIANA ukiwa ndani ya gali la kampuni ya 5effects movies ukiwasili monchwari muhimbili baada ya kutolewa pale alikofia kwa Dr ngoma
mtoto wa kuku.ni confirmed jamaa amekufa kwa dengue..
Dengue tena?? Acha Masikhara intestine.
Dah! Kuambiana hakuwahi kutumia hata robo ya kipaji chake, alikua na uwezo mkubwa sana kuliko kawaida! R.i.p director!
Mtoa taharifa mbona mimi nimesikia nikifo cha gafla kutoka vyanzo vinavyo aminika?
Mkuu marehemu ADAM PHILIP KUAMBIANA ni mmoja wa watu wangu wa Karibu Sana...nimefanya kazi na marehemu zaidi ya miaka 7 na Kabla hajapata matatizo nimefanya nae movies 4 mfululizo zingine akicheza na zingine akiziongoza 1.mr Kadamanja 2.stupid father 3.who Si my child 4.kitoga.... muda wote mkiwa location Tumbo ndilo tatizo kubwa ambalo lilikuwa linamsumbua marehemu muda Sana na kabla hajakutwa na mauti alishawahi kuja ofisini kusema now ameshagundua tatizo linamsumbua ndani ya Tumbo lake Sasa anaitajika kufanyiwa upasuaji... Na kabla hajakutwa na mauti alilalamika tumbo kabla ya kuanguka ghafla na kukimbizwa hospital ndipo umauti ulipomkuta