TANZIA Msanii wa HipHop SALU T afariki dunia

Nasikia alikuwa ni Shabiki mkubwa sana wa Yanga SC hivyo huenda mambo yakawa yameshatiki kwa Babu.

Simba SC Kesho mkipona sijui kwani nasikia tena kuna Mchezaji wao Kafiwa na Baba yake Mzazi.

Shikamooni Yanga SC na huyo Babu.
Watch your back young man! Wenye Jamii Forums yao wakikuotea na huku, sijui utakimbilia wapi tena.
 
Rest in Peace
#saluT . Kweli hip pop tuongeze kasi sana , na wapenda Fasihi tujaribu kupush sana kazi... huyu mwamba ni watu wengi hawakuwa wanamfahamu .... mpaka sasa ziko comment nyingi kwenye page ya JamiiForums watu wanatoa pole japo nyingi ni R.I.p japo simjui...
... Hip Hop imedolola bongo.... waimba ngono ndo wameshika kasi.



 
Majonzi yananikwaza nawaza nilopetza,

Misiiba haiishi Ardhi inatumeza,

Kila kukicha kifo wengi wanaomboleza,

Kufiwa ukiwa huzuni inajieleza,

Mtaa mzima kimya watoto sioni kucheza,

Wanawake machozi wapweke wasio jiweza,

Furaha imetoweka watani wanazebeza,

Sio lazima kugeza Mila zisizo pendeza,

Majamvi yametandazwa mwiko viti na meza,

Tuheshimu desturi vuziri kutozibeza,

"Siri ya mauti nini jibu analo muweza",

Wanaofariki hawarudi nani katokeza,

Vitu utatengeneza utainuka ukiteleza,

Uhai ungekua tajiri kama ungeuzwa kwa fedha,.....

" Nyota imedondoka, Taa imezimika"..... Nyota By Salu T
 
mmmh
 
Nilijua nikiiweka humu watu wengi wasingemjua
Humu hiphop heads wapo wengi tu, hivyo toa tu taarifa japokuwa kutokana na mchanganyiko wa watu maswali huwa hayakosekani, lakini muhimu taarifa inakuwa imefika
 
Jamaa alikuwa illest rapper
Ana goma lake moja linaitwa darasa
Hutu mwamba mistari yake yote imeja
Ujumbe tu
Wanabana pua wapaka lipstick hawawez kumjua

Ova
Moja ya fun facts kumhusu mchizi ni kwamba katika carrier yake yote hakuna ngoma yeyote ambayo kaifanya halafu ndani yake katumia neno la kiingereza

Nash na Zavala walikuwa hawamfikii huyu jamaa kwa ku-stick kwenye kiswahili bila kuchanganya na kiingereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…