TANZIA Msanii Waziri Ally Kissinger afariki dunia

Apumzike kwa amani huyo mzee.

Nimesikia familia wakisema alikua na matatizo ya moyo na presha.

Familia wanasema alisema anajisikia vibaya, wakampeleka hospitali akafia njiani na presha ndio ilikua juu.

Atangulie kwa amani.
 
Mziki wa zamani ulikuwa na utunzi unaweza tengenezea movie ya nusu saa.

Nakumbuka RTD kipindi cha "hisia na muziki"

Wangekuwa na backup wangetupia hata youtube tujikumbushe enzi hizo.
 
Umeongea kwa uchungu sana,ni ukweli mchungu ambao hututaki kuujua
 
Nyota wengi wa miaka hiyo wameondokea mwananyamala.
Bima ya afya ni muhimu.kule bei nafuu,na wasanii wengi wanaishi wilaya ya kinondoni kitovu cha starehe.wasanii wengi walifanya makubwa ila walinyonywa sana,hawawezi kulipia bima za afya wala hawana uwezo wa kwenda aga khan.ila hawa waimba matusi wa bongo flavor wanamiliki mamilioni the wprld is not fair
 
Tanzia: aliyekuwa mwanamuziki na muasisi wa bendi ya njenje bwana waziri Ally amefariki dunia.
Marehemu amefariki dunia leo majira ya jioni katika hospitali ya Mwananyamala alikokuwa akipatiwa matibabu
Oooh! Inasikitisha. Poleni Nyota Waziri na wananjenje na wanakimanyumanyu wote.
 
Delta force soon itaanza kuwa wakubwa wakubwa hasa wa mjegoni
 
Huyu jamaa aliujua Muziki msikilize kwenye Sogea karibu ya Juwata Jazz alikuwa muungwana sana alimuacha mkewe baada ya kujiridhisha mkewe anajihusisha..........mkewe ni Nyota Kinguti ambaye akaja julikana kwa jina la Nyota Waziri. R.I.P KISSINGER
Hiyo habari niliambiwa piaa
 
RIP Bwana Waziri, kazi zako zitaendelea kutangaza jina na ubunifu wako
 
Huyu jamaa aliujua Muziki msikilize kwenye Sogea karibu ya Juwata Jazz alikuwa muungwana sana alimuacha mkewe baada ya kujiridhisha mkewe anajihusisha..........mkewe ni Nyota Kinguti ambaye akaja julikana kwa jina la Nyota Waziri. R.I.P KISSINGER
Mastar wa zamani walikuwa wanaishi real life, sio hawa watoto wa juzi kiki nyingi kupitia social media ndo zinawabeba!!
 
Mastar wa zamani walikuwa wanaishi real life, sio hawa watoto wa juzi kiki nyingi kupitia social media ndo zinawabeba!!
Ni kweli huyo jamaa kuna wakati mke wake aliyekuwa anaitwa Nyota Waziri alikumbwa na kashfa ya kimahusiano, it was late ninties or early twenties
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…