Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Tanzia:
Marehemu amefariki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzia:
Marehemu amefariki
Apumzike kwa amani na mwanya wake jamaniMsanii wa Muziki, Waziri Ally Kissinger wa The Kilimanjaro Band (wana Njenje) amefariki dunia usiku huu katika Hospitali ya Mwananyamala.
View attachment 1865139
View attachment 1865142
Bila shaka ni yule anaetaka tuhamie Rwanda.. Mzee wa tozoWaziri gani mkuu uliye zani? Maana dah
Mziki wa zamani ulikuwa na utunzi unaweza tengenezea movie ya nusu saa.Muziki wa Dansi wakati nchi ina heshima na adabu unazidi kupoteza mibuyu yake na soon utabakia history,na huu uchafu tuliokua nao wa kizazi hiki umetuharibia mno utamaduni wetu(Taifa lisilokua na utamaduni wake ni Taifa mfu)sikiliza mziki wa nchi zetu jirani kama Malawi,Zambia,Botswana uasili wa utamaduni wao bado wanauendeleza,tumemezwa na mziki wa kikongo na S.A. haya ni makosa na uchezaji wetu wa mziki nao umemezwa na tamaduni nyingine!Amapiano ni mwendelezo wa Kwaito pale SA na sasa sisi tunajifanya kama wasouth!!;ulale pema Waziri Ally bingwa wa kinanda na ALLAH akuondoleee adhabu ya mauti!!sikiliza kibao cha Sogea Karibu (Juwata jazz)ahaaa sauti tamu ya Bitchuka ikimtamka Bwana Waziri wakati anapapasa kinanda akiumana na gita la solo la Mabera!!what went wrong nchi hii ?mbona kila kitu ni uozo tu?
Dah noma kweliBila shaka ni yule anaetaka tuhamie Rwanda.. Mzee wa tozo
Umeongea kwa uchungu sana,ni ukweli mchungu ambao hututaki kuujuaMuziki wa Dansi wakati nchi ina heshima na adabu unazidi kupoteza mibuyu yake na soon utabakia history,na huu uchafu tuliokua nao wa kizazi hiki umetuharibia mno utamaduni wetu(Taifa lisilokua na utamaduni wake ni Taifa mfu)sikiliza mziki wa nchi zetu jirani kama Malawi,Zambia,Botswana uasili wa utamaduni wao bado wanauendeleza,tumemezwa na mziki wa kikongo na S.A. haya ni makosa na uchezaji wetu wa mziki nao umemezwa na tamaduni nyingine!Amapiano ni mwendelezo wa Kwaito pale SA na sasa sisi tunajifanya kama wasouth!!;ulale pema Waziri Ally bingwa wa kinanda na ALLAH akuondoleee adhabu ya mauti!!sikiliza kibao cha Sogea Karibu (Juwata jazz)ahaaa sauti tamu ya Bitchuka ikimtamka Bwana Waziri wakati anapapasa kinanda akiumana na gita la solo la Mabera!!what went wrong nchi hii ?mbona kila kitu ni uozo tu?
Bima ya afya ni muhimu.kule bei nafuu,na wasanii wengi wanaishi wilaya ya kinondoni kitovu cha starehe.wasanii wengi walifanya makubwa ila walinyonywa sana,hawawezi kulipia bima za afya wala hawana uwezo wa kwenda aga khan.ila hawa waimba matusi wa bongo flavor wanamiliki mamilioni the wprld is not fairNyota wengi wa miaka hiyo wameondokea mwananyamala.
Oooh! Inasikitisha. Poleni Nyota Waziri na wananjenje na wanakimanyumanyu wote.Tanzia: aliyekuwa mwanamuziki na muasisi wa bendi ya njenje bwana waziri Ally amefariki dunia.
Marehemu amefariki dunia leo majira ya jioni katika hospitali ya Mwananyamala alikokuwa akipatiwa matibabu
Yule ni babu njenje au mzee njenje..we nikijana mdogo mambo ya kale huyajuiBasi nimewachanganya. Mbona na picha yake iliwekwa hapa? Staili ya nywele zake kulikuwa na mvi na sehemu nyingine nyeusi.
Hiyo habari niliambiwa piaaHuyu jamaa aliujua Muziki msikilize kwenye Sogea karibu ya Juwata Jazz alikuwa muungwana sana alimuacha mkewe baada ya kujiridhisha mkewe anajihusisha..........mkewe ni Nyota Kinguti ambaye akaja julikana kwa jina la Nyota Waziri. R.I.P KISSINGER
Way back Gogo hotel MoroccoMnachanganya waziri ally na mzee njenje alijufa mwaka juzi wote walikuwa bendi moja,the kilimanjaro band
Mastar wa zamani walikuwa wanaishi real life, sio hawa watoto wa juzi kiki nyingi kupitia social media ndo zinawabeba!!Huyu jamaa aliujua Muziki msikilize kwenye Sogea karibu ya Juwata Jazz alikuwa muungwana sana alimuacha mkewe baada ya kujiridhisha mkewe anajihusisha..........mkewe ni Nyota Kinguti ambaye akaja julikana kwa jina la Nyota Waziri. R.I.P KISSINGER
Ni kweli huyo jamaa kuna wakati mke wake aliyekuwa anaitwa Nyota Waziri alikumbwa na kashfa ya kimahusiano, it was late ninties or early twentiesMastar wa zamani walikuwa wanaishi real life, sio hawa watoto wa juzi kiki nyingi kupitia social media ndo zinawabeba!!