Msanii zuchu kutambulisha EP yake leo

Msanii zuchu kutambulisha EP yake leo

Kings wanapewa sh ngapi?

King's boss wao hana shida ya pesa wala mali,yeye hua mpk anaishi na wasanii wake wote pale kwake mpk mkewe akamkimbia.

Yote haya kuonyesha yuko humble na kumbuka HAPENDI KUJIONYESHA KABISA

Na pengine hujui isingekua Corona alikua amepewa mualiko yeye peke yake kwenda kuimba siku Liverpool inakabidhiwa Kombe kule Anfield,Yooooooo.
 
Zuchu overrated...hamfiki hata yule mjukuu wa Mbaraka Mwinshehe"Marrisa" na ngoma yake niko single..na hizo views marobot kama kawaida yao...
Zuchu sio overrated Kama unavyosema kumbuka zuchu kashiriki mashindano makubwa ya kuimba Kama Tecno own stage na kafika hatua nzuri ingawa hakufika fainal majaji walikuwa sauti solo,Yemi alade na mwingine jina limenitoka, Zuchu pia kutengeneza jingle nyingi za wasafi media ukiachana na hivyo huyo dada ni best vocalist amekuwa akiwa back vocal za band nyingi before ya kuingia Wasafi lakini pia Zuchu ni song writer ( ana kipaji Cha kuandika nyimbo mwenyewe).
 
King's boss wao hana shida ya pesa wala mali,yeye mpk hua mpk anaishi na wasanii wake wote pale kwake mpk mkewe akamkimbia.

Yote haya kuonyesha yuko humble na kumbuka HAPENDI KUJIONYESHA KABISA

Na pengine hujui isingekua Corona alikua amepewa mualiko yeye peke yake kwenda kuimba siku Liverpool inakabidhiwa Kombe kule Anfield,Yooooooo.
😀😀😀
 
Ntaisikiliza.

Zimetoka collections nyingi mwaka Huu ila ya Aslay "Kipenda Roho" is the best and the most underrated.

Alafu anayejua utofauti wa EP na Mixtape naomba anifahamishe wakuu.
 
Kuna mtu naweza nikawa nimemsaidia kwa hili

An extended play record, often referred to as an EP, is a musical recording that contains more tracks than a single, but is usually unqualified as an album
Asante sana mkuu, umenisaidia.
 
Zuchu sio overrated Kama unavyosema kumbuka zuchu kashiriki mashindano makubwa ya kuimba Kama Tecno own stage na kafika hatua nzuri ingawa hakufika fainal majaji walikuwa sauti solo,Yemi alade na mwingine jina limenitoka, Zuchu pia kutengeneza jingle nyingi za wasafi media ukiachana na hivyo huyo dada ni best vocalist amekuwa akiwa back vocal za band nyingi before ya kuingia Wasafi lakini pia Zuchu ni song writer ( ana kipaji Cha kuandika nyimbo mwenyewe).
kuandika kwa content ya wimbo ule acha utapeli kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wivu..ningekuwa na wivu nisingesifia debut singles za kina Rayvanny na wengine..sema nyie mashabiki hoyahoya huwa mnakuwa kama mmelogwa na hamtaki kusikia maoni negative kutoka kwa watu..

She has to come with something special ili sisi wapenda muziki kutoka kwa real talents tumuelewe..ila for the meantime wewe unaweza kuendelea kumpa 5star zako
Mkuu unapoteza nguvu kuwaelewesha hawa vijana wa dabiliyusibi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ntaisikiliza.

Zimetoka collections nyingi mwaka Huu ila ya Aslay "Kipenda Roho" is the best and the most underrated.

Alafu anayejua utofauti wa EP na Mixtape naomba anifahamishe wakuu.
Tofauti yake ni jina kwa wanna hip hop inaitwa mixtape kwa waimbaji inaitwa EP
 
Lini ushawahi kusifia WCB ww?

Wewe mpaka radio ulikuwa unaponda mpaka watangazaji wake ukafikia kusema,Mondi anapoteza hela yake siku hizi makampuni hayatoi matangazo.

Wamewachukua akina Jonijo ukasema "Madogo wenyewe hawajui,wanawaiga XXL".Juzi wamewachukua akina Kitenge na Dida ukasema "Mondi anapoteza hela zake siku makampuni yamepunguza matangazo".

Ila thread za Kiba na Mjengoni Clouds hapo unazipamba.Brother hii jamii forum usiwe mnafiki JF itakuumbua.
Sijawahi kutoa comment kama hii..maana mimi naheshimu mtu anayepambana i.e diamond..Na nilichokuwa nakosoa ni kipindi cha usiku kile ambacho pia wadau wengi wamesema hamna kitu na kimefutwa..unafiki wangu uko wapi?..Pia kuiga iga..kukosoa ni kosa?,,sio kwamba tunataka mlengwa afanikiwe?

Wewe pia sema hupendi kuambia kitu negative kuhusu wcb.
 
Mimi JF si msingiziagi mtu najua sababu siku hiyo nilibishana sana na ww.Thread nimeisahau kama ningeijua ningeweka comments zako.

Yaani unatuambia -ve kwa msanii ambaye ndio kwanza ana single ya moja mshaanza kujipa na unabii kabisa.

Ila wewe ikiambiwa -ve kuhusu CMG na Kiba unakasirika
 
Nimesema inabidi aje na kitu kingine kikali ili atushawishi sisi wengine ila hii hapana,mbona nimesema rayvann na harmonize walifanya fresh kwenye debut singles zao..maana kama kufanikiwa atafanikiwa,ila mpaka mimi nimkubali lazima afanye vitu kwa level fulani ya juu..

Anyway,tufunge mjadala..nisije kuonekana mchawi bure..Huyu zuchu aendelee kufanya kazi zake
 
Sijawahi kutoa comment kama hii..maana mimi naheshimu mtu anayepambana i.e diamond..Na nilichokuwa nakosoa ni kipindi cha usiku kile ambacho pia wadau wengi wamesema hamna kitu na kimefutwa..unafiki wangu uko wapi?..Pia kuiga iga..kukosoa ni kosa?,,sio kwamba tunataka mlengwa afanikiwe?

Wewe pia sema hupendi kuambia kitu negative kuhusu wcb.
Sawa huyu pacha wako,endelea kujipa unabii....(Thread niliyobishana na ww sijaiona),mimi sikusingizii nakujua humu JF.

Wasafi Tv wanachosha na Tv Yao - JamiiForums
Screenshot_20200412-144849.png
 
Kweli siku hizi sifuatilii muziki yaani wimbo hadi una view 1m+ ila sijawahi kuusikia!! Au sio mzuri? Maana wimbo mzuri utakufata wenyewe hata usipoufata
sasa we muda wote una sikiliza Cloud's,e-fm na East Africa radio, utausikiaje huo wimbo na hata smartphone huna?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Hawa wasanii wa Wcb wanatembelea kivuri cha boss wao ila uwezo wao mdogo.

isingekua yupo chini ya Diamond mpaka kufikia mda huu hata Views 20k hangekua hajafika,
We jamaa nahisi Ukiona wasafi wamefanya mambo mazuri na ya kushangaza,huwa unajifungia geto kwako unalia sana,majirani wakidhani labda una maombi maalumu kumbe hasira na wivu vimekukaba shingoni,

Utakuja kuokotwa mtaroni kwa kisiriri chako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom