Msekwa aongoza mjadala wa Katiba Mpya na Tanzania tunayoitaka

mliopo karibu na movenpick mnakaribishwa
 
ITV WAMEKOSEA MUDAHALO WA KITOTO

KWANINI WANAKARIBISHA UPANDE MMOJA????

ITV hakuna mdahalo hapo
 
swali kuhusu ushirikishwaji wa wananchi ktk katiba ya 1977
 
Msekwa atake asitake hawezi kuzuia nguvu ya umma.
 
AIM YA MDAHALO HUU NI KUAMINISHA WATANZANIA KUWA JK ATAUNDA TUME KUTAFUTA MAONI


HOJA YA KATIBA MPYA INAPINDISHWA

TUME ikiundwa jua ROSTAM kaweka watu wake
 
msweka anasema katiba inapatikana katika michakato miwili

kisheria na kisiasa
 
political process and legal process yeye alishiriki kwenye political process, geogre liundi ndie alie iandika
 
msekwa anasema katiba mpya ilishaandikwa mwak 1962
katiba nyingine 1977,

Kama historia ya katiba
 
babu kwanza mzee wa kiraracha live
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…