Nani mbumbumbu pale kama sio yeye!Msekwa anabishana na watu mbumbu!
Kwa Makamba mjadala usingefika huku, angeondoka kwa jazba!Bora wangemwalika makamba kuliko huyu. Yaani amefrustrate kabisa na kupoteza mwelekeo
Mjadala wa leo hata haueleweki
Wasome hawa wa shule za kata? Wakifeli itakuwaje?mwananchi mmoja ansema watu wasome katiba kwanza kabla ya kuanza kwa mchakato mpya