Msekwa kudai kwamba Salum Jecha alifuta uchaguzi wa 2015 peke yake ni Uongo

Seif kwa nini aliamua kujitangaza wakati anajua hiyo ni kazi ya tume? Kama hakuwa na agenda ya siri kiherehere kilikuwa cha nini? Kama lengo halikuwa kuvuruga uchaguzi?

Aliyevuruga uchaguzi ni Seif sio Jecha
Kwa hiyo kujitangaza ndio kulimpa ushindi? Kwa nini Jecha asimtangaze tu Shein kuwa mshindi? Serikali yote si ingemlinda ili haki ifanyike?

Amandla...
 
Kwa hiyo kujitangaza ndio kulimpa ushindi? Kwa nini Jecha asimtangaze tu Shein kuwa mshindi? Serikali yote si ingemlinda ili haki ifanyike?

Amandla...
Ingeleta vurugu mtu akikosea unampa onto
Jecha alitumia hekima kubwa mno kilikuwa kawaida Vinginevyo Zanzibar ingetumbulia vitani
Akasema isiwe kesi umekosea Seif ubinadamu uchaguzi urudiwe hao waliokupa mursi wapowatakupa kura tena ila usijitangaze subiri tume

Mzee msekwa naye kwa nini asiongee na mzee mwenzie Jecha? Apumzike alee wajukui kama Jana alee yatima au watoto wa nduguzake Wachovu kimaisha siasa aache
 
Seif kwa nini aliamua kujitangaza wakati anajua hiyo ni kazi ya tume? Kama hakuwa na agenda ya siri kiherehere kilikuwa cha nini? Kama lengo halikuwa kuvuruga uchaguzi?

Aliyevuruga uchaguzi ni Seif sio Jecha
Uchaguzi ulioisha na kura zishahesabiwa unavurugwaje ?
 
unasema biashara za MATAJIRI zinaanza kuamka hebu tuambie ni nani aliyezilaza a.k.a KUFA.
 
Kwa hiyo unatuambia uchaguzi ulifutwa kwa sababu Jecha hakutaka kumtangaza Shein kuwa mshindi?

Amandla...
 
Hiyo ndio tume iliyokua ikiongozwa na kada wa CCM aliyekuja kutaka kugombea urais miaka 5 baadaye .

Ni mtu mjinga ndio ataamini matokeo ya tume za uchaguzi za Tanzania
 
Hapa sasa tunazidikudanganyana wenyewe kama watoto wadogo Jecha afute uchaguzi kwa mamlaka yake mwenyewe pasipokupewa maelekezo na wenye dola halafu wenye dola wakae kimya pasipo kumshughurikia?.

Halafu kudai ushahidi kwenye jambo kama hili ni sawa na kudai ushahidi jinsi jambazi alivyokuwa anapanga namna ya kwenda kupora fedha benki, wakati jambazi anapopanga mipango yake ya uporaji hakuna anayekuwepo kushuhudia zaidi ya majambazi wenzake na atakayejaribu kuvujisha siri hiyo hakuna adhabu nyingine anayopewa zaidi ya kuchapwa risasi kwa kuwa kosa la kuvujisha siri za mipango ya ujambazi ni sawa na kosa la muhaini anayefanya mipango ya kupindua nchi.
 
Jecha angefuta uchaguzi kwa matakwa yake mwenyewe mpaka sasa tusingekuwa naye,angekuwa chungu kimoja na akina saa nane na wenzake.
 
Tuna watu wa aina mbili, 1. Wishful thinkers 2. Realists. Wishful thinkers kazi yao ni ku asume kila kitu. Ma realists, they don't assume, wanasema kile kilichopo in reality na kilichotokea kweli, Jecha ndiye aliyetangaza kufuta uchaguzi, na alikuwa peke yake.
P
 
Reactions: Tui
Mkuu Pasco wana jina lao hao wenye ku assume kila jambo.Wanaitwa Presumptuous.
Wao hawana reality thinking kazi yao ni assuming tu kwani huhitaji kufikiri.
 
HAPO UMESEMA MIPANGO YENU YA KIBINADAMU. CHADEMA INA MIPANGO YAKE PIA NA KOMESHA ZAIDI MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI ANA MIPANGO YAKE. SASA TUTAENDELEA KUTAKA MIPANGO NA MAPENZI YA MUNGU YANOGE.
 
KWAHIYO KILA TANGAZO LINALOTOLEWA NA MTANGAZAJI NI LA MTANGAZAJI!?
KUNA SIKU TUTAKUKUMBUSHA. IWE NI CCM AU WAPINZANI
 
Utafaidika nini wewe?
 

..waliosimamia utekelezaji wa maagizo au maelekezo ya Jecha kufuta uchaguzi ndio tatizo kubwa zaidi.

..mzee msekwa alijaribu kumbebesha lawama zote Jecha, bila kuangalia kwamba kuna mamlaka au watu waliotekeleza maamuzi batili ya Jecha.

..Na waandishi wetu kama kawaida wakashindwa kumbana mzee msekwa kwa follow up questions kuhusu tuhuma zake dhidi ya Jecha.

..mzee msekwa angekuwa anahojiwa na waandishi wa habari ambao wanaijua kazi yao asingeweza kuchomoka ktk uongo wake.
 
Una matatizo wewe.
 
Hivi huwa kwanini hawa viongozi wastaafu huwa wanatoa kauli zinazo pingana na waliyoyafanya wakiwa kwenye nafasi za utawala?!
 
..mzee msekwa angekuwa anahojiwa na waandishi wa habari ambao wanaijua kazi yao asingeweza kuchomoka ktk uwongo wake.
Mkuu JokaKuu, mtendee haki Pius Msekwa, usimuite muongo!. Jecha alikuwa Live on ZBC toka hoteli ya Bwawani na ZEC, wakitangaza matokeo kadri wanavyopokea, kisha Jecha akaamka peke yake, akatoka bila kuaga wenzie ZEC.

Mara matangazo ya matokeo yakasitishwa kutokea Bwawani na kurejeshwa Studio za ZBC na ndipo Jecha akaibuka live akiwa peke yake, akatangaza kufuta uchaguzi.
Hivyo Msekwa is very very right, Jecha ametangaza kuufuta uchaguzi wa ZEC Zanzibar, lakini uchaguzi wa NEC Zanzibar haukufutwa na matokeo ya Uchaguzi wa NEC kwa Zanzibar, mgombea wa upinzani kwa upande wa Zanzibar, alimgalagaza vibaya mgombea wa CCM!.

Hivyo Jecha alitangaza mwenyewe.
P
 
Una ka-umalaya fulani hivi.Mungu akuepushe na uduwanzi wako.
 
Kama ni suala la kutangaza alitangaza akiwa peke yake kwa kutumia mdomo wake, lakini alitangaza kile alichotakiwa kukifanya na wenye dola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…