Msekwa: Membe siyo mtu maalumu, afuate tu taratibu

Msekwa: Membe siyo mtu maalumu, afuate tu taratibu

Yaan CCM na serikali yake imtetemekee Membe , duh Hiki ni kituko cha Karne , Membe hata Mimi namkalisha Tu vile vile , Kwanza kitendo cha kumfukuza Membe ni kuwa CCM wamemdharau mno , Kinana na Makamba ndo ambao CCM inawaangalia Kwa jicho la pili na sio Membe
Na tena ni Membe huyu huyu wakati huo akiaminika kuwa na support ya Rais aliyekuwapo au tuseme na vigogo wakuu toka CC ya CCM mwaka 2015 na bado akiambulia nafasi ya mwisho katika wagombea wa5 toka CCM. akipitwa hata na Rose Migiro. Sasa leo ati awe tishio tena mbele ya Rais aliyeko madarakani? Vichekesho.
 
Back
Top Bottom