SN.BARRY
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 4,038
- 8,929
Lake Zone Empire kwa kubebana tu hawajambo, sasa Membe ana kosa gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MNATEGEMEA POLISIEti linajifanya kuwa so special,Mara niguse ninuke,ameshaguswa wala harufu hatusikii
Sent using Jamii Forums mobile app
Uraji ni nini?Msijifsnye hamnazo,
Membe kafukuzwa kwa sababu ya shinikizo la mwenyekiti wenu,na acheni kufananisha kufukuzwa kwa Kambona na Membe,
Kipindi Kambona anafukuzwa,nchi ndio ilikuwa inapata uhuru,usalama wa nchi upo tete,mamluki kibao,ukombozi kusini mwa Afrika umepamba moto,Nyerere alikuwa anajaribu kujenga nchi,
Sasa sasa hv,mmemfukuza ili boss wenu apumue,mnalinda uraji wenu tu.
Mngenyamaza kimyaaaa! Tungeamini kuwa hamumwogopi,lakini mnapojibu na kumsema membe Kila aandikwapo.Sasa Membe naye wa kumhofia? kuna wa kuwahofia Ila sio Membe Kwa kweli, atafute Tu kazi zingine za kufanya, ni aheri ukamhofia Zitto kuliko huyo Membe.
Harufu mmeshaanza isikia,mbona Kila kukicha,membe,membe.Eti linajifanya kuwa so special,Mara niguse ninuke,ameshaguswa wala harufu hatusikii
Sent using Jamii Forums mobile app
Haki anayo,lakini asimame pamoja na kweli. Mzee anaijichafuPamoja na umri kwenda anahaki ya kutoa maoni yake kwa mujibu wa katiba ya nchi ibara ya 18
Yaan CCM na serikali yake imtetemekee Membe , duh Hiki ni kituko cha Karne , Membe hata Mimi namkalisha Tu vile vile , Kwanza kitendo cha kumfukuza Membe ni kuwa CCM wamemdharau mno , Kinana na Makamba ndo ambao CCM inawaangalia Kwa jicho la pili na sio MembeMngenyamaza kimyaaaa! Tungeamini kuwa hamumwogopi,lakini mnapojibu na kumsema membe Kila aandikwapo.
Ni ishara inayojitosheleza pasipo mashaka kuwa membe amewashika nyetini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si umuulize Membe mwenyewe yupo mtaani akizurura wewe kakae tu kwenye mageti ya vyombo vya habari utamuona akija yeye na mke wake
Ukiwa mhuni utafukuzwa tuYaan CCM na serikali yake imtetemekee Membe , duh Hiki ni kituko cha Karne , Membe hata Mimi namkalisha Tu vile vile , Kwanza kitendo cha kumfukuza Membe ni kuwa CCM wamemdharau mno , Kinana na Makamba ndo ambao CCM inawaangalia Kwa jicho la pili na sio Membe
Wanaomfuatafuata ni waandishi wa Habari. Hata Msekwa nae kafuatwa na waandishi.Sasa si wamuache wanamfuatafuata wa nini?
Msekwa naye umri umeenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti linajifanya kuwa so special,Mara niguse ninuke,ameshaguswa wala harufu hatusikii
Sent using Jamii Forums mobile app
Msijifsnye hamnazo,
Membe kafukuzwa kwa sababu ya shinikizo la mwenyekiti wenu,na acheni kufananisha kufukuzwa kwa Kambona na Membe,
Kipindi Kambona anafukuzwa,nchi ndio ilikuwa inapata uhuru,usalama wa nchi upo tete,mamluki kibao,ukombozi kusini mwa Afrika umepamba moto,Nyerere alikuwa anajaribu kujenga nchi,
Sasa sasa hv,mmemfukuza ili boss wenu apumue,mnalinda uraji wenu tu.
Mmemfukuza Membe, yupo kimya wala hajasema popote lakini kila kukicha mnamtajataja muacheni tu ajiamulie mwenyewe maisha yake maana ni mtu mzima yule tena msomi anaweza kujiajiri kama wengine..