Msekwa: Membe siyo mtu maalumu, afuate tu taratibu

Kama siyo mtu maalum, mbona maweweseka?
 
Attachments

  • 2323922_FB_IMG_1582080397242.jpeg
    2323922_FB_IMG_1582080397242.jpeg
    48.2 KB · Views: 2
Uraji
Msijifsnye hamnazo,

Membe kafukuzwa kwa sababu ya shinikizo la mwenyekiti wenu,na acheni kufananisha kufukuzwa kwa Kambona na Membe,

Kipindi Kambona anafukuzwa,nchi ndio ilikuwa inapata uhuru,usalama wa nchi upo tete,mamluki kibao,ukombozi kusini mwa Afrika umepamba moto,Nyerere alikuwa anajaribu kujenga nchi,

Sasa sasa hv,mmemfukuza ili boss wenu apumue,mnalinda uraji wenu tu.
Uraji ni nini?
 
Sasa Membe naye wa kumhofia? kuna wa kuwahofia Ila sio Membe Kwa kweli, atafute Tu kazi zingine za kufanya, ni aheri ukamhofia Zitto kuliko huyo Membe.
Mngenyamaza kimyaaaa! Tungeamini kuwa hamumwogopi,lakini mnapojibu na kumsema membe Kila aandikwapo.
Ni ishara inayojitosheleza pasipo mashaka kuwa membe amewashika nyetini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan CCM na serikali yake imtetemekee Membe , duh Hiki ni kituko cha Karne , Membe hata Mimi namkalisha Tu vile vile , Kwanza kitendo cha kumfukuza Membe ni kuwa CCM wamemdharau mno , Kinana na Makamba ndo ambao CCM inawaangalia Kwa jicho la pili na sio Membe
 
Ukiwa mhuni utafukuzwa tu
 
Nanukuu... "Kuna wastaafu wanawashwawashwa" mwisho wa kunukuu! Kupata nukuu hizi na nyingine tuma 500 kwenda kwangu
 
Dawa yake tumpokee chadema kwa ngoma na sherehe
Msijifsnye hamnazo,

Membe kafukuzwa kwa sababu ya shinikizo la mwenyekiti wenu,na acheni kufananisha kufukuzwa kwa Kambona na Membe,

Kipindi Kambona anafukuzwa,nchi ndio ilikuwa inapata uhuru,usalama wa nchi upo tete,mamluki kibao,ukombozi kusini mwa Afrika umepamba moto,Nyerere alikuwa anajaribu kujenga nchi,

Sasa sasa hv,mmemfukuza ili boss wenu apumue,mnalinda uraji wenu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado ccm hawajatosheka na ukiukwaji wa katiba ya chama ili kumzuia Membe?
 
Mzee Msekwa,

Mshereheshaji wa mfalme ili kumnusuru mfalme pindi afanyapo mambo ya ajabuajabu ya kuvunja katiba ya chama na nchi.
 
Back
Top Bottom