Abunwasi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 5,486
- 3,473
Mzee Msekwa hajikombi wala hana hulka hiyo kabisa.Muhusika yeye mbona yupo kimya ila kina Bashiru na Msekwa wanajikombakomba alafu wanasema mitandao inampa BM umaarufu
Msekwa umri umeenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye kwa sasa yuko kwenye baraza la wazee na mara nyingi huwa kisiwani akibariz.
Kilichotokea ni kwamba waandishi wa habari walitaka maoni yake kuhusu hilo kama vile walivyotaka maoni yake wakati wa barua za akina mzee kinana na makamba.