- Thread starter
- #21
Eti bhana!Engineer anafanya nini TAMISEMI??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti bhana!Engineer anafanya nini TAMISEMI??
Huu nao mtihani! Lakini si Rais atawabadilisha hao Wakurugenzi pia? Au wenyewe hawawezi kuguswa?Ummy hataiweza Tamisemi, anaenda kuwaongoza watu zaidi ya 200 wanaoteuliwa na rais, wanaongea na rais daily na wengine wengi ni maafisa usalama tena waandamizi waliopachikwa mikoani, halmashari na vijijini.
Type ya kuongoza Tamisemi ni lukuvi, paramajalala, mkuu wa mkoa Dodoma, mwinyi dogo, wale wapole na maneno machache.
Kuna siku nilimuona Jafo anamgombeza mkrugenzi x, jioni hiyo hiyo jiwe akampigia akamwambia asiandike maelezo wala hakitatokea chochote.
Tamisemi ni ngumu sana.
Miradi mingi sana, kila MTU anataka kuiba
Eti bhana!
Yule wa bandari pia ninasikia alikuwa TANROAD!Hawa watu wa TANROAD waliotawanya kila kona ya serikali wametuharibia nchi tu.Warudi wakajenge mabarabara na madaraja wawaachie masuala ya utawala watu sahihi.
You are not serious!Katibu mkuu TAMISEMI hana masihara katika kazi ndo maana WAVIVU NA WAPIGA DILI mnamchafua.
Mbabe wake, yaani Katibu Mkuu wake, ndiyo anamwangusha. Hawaambiani ukweli wa kinagaubaga!Kweli Jafo alipaswa kuondoka haiwezekani ufanye Tamisemi uwe mradi wa rushwa kwa kuzuia uhamisho rasmi wa miaka yote wakati watu wanaendelea kuhama kwa rushwa kama alikuwa hajui hili linafanyika toka 2018 basi nafasi hii ilikuwa inampyaya,tumpongeze mama kwa jicho kali juu ya mtu huyu dhaifu na unga mkono hoja na katibu mkuu aondolewe kabisa hawa ni wapigaji tu.
Wewe ndo haupo serious umejaa chuki tu.Una ushahidi na unayoyaongea?Umechukua hatua gani?You are not serious!
Hahah!Ila kwa sasa inaweza kuwa na nguvu sasa. Inaonesha Samia ni mtu wa kuruhusu uhuru wa habari ya kujieleza. Ukiruhusu kukosolewa unaongoza vizuri, ukizuia kukosolewa utapoteza watu kwa kupitia watu wasiojulikana.
Mzee unaishi sayari gani wewee, jiwe alitumbua adi marafiki zake na urafiki ukaisha, mtoto wa dada ake aliye teuliwa kule kawe, akala kichwa . Nilikuwa simpendi jiwe lakini baadhi ya uwe da wazimu wake ulikuwa na manufaa kwa nchi hii!!!
Kwahiyo mheshimiwa umekuja kujisafisha na kumpondea mwigulu.?Jafo ni mchapakazi hakuwa anakurupuka katika maamuzi yake. Amesimamia ujenzi wa madarasa nchi mzima, vituo vya afya, zahanati na hospital za wilaya stand na vituo vya mabasi,miradi ya maji,n.k katika mazingira magumu ya fedha za halmashauri kuwa chini ya hazina/serikali kuu. Kama sio ubunifu wake wa kutumia Force account kufanikisha miradi hii, halmashauri nyingine zingeshindwa kukamilisha miradi kutokana na urasimu wa kupata fedha toka hazina. Ni pontetional to higher office Madame SSH anajua hill na alichofanya ni nyundo. Huwezi mfananisha Jafo na mawaziri uchuro kama Mwigulu, atang'ara tu hata wizara anayoenda
Umeongea ukweli mtupu! Halfu sijui Makonda alikosea nini? Though pia ukweli Makonda hapo mwanzo hakuwa chaguo lake - alimkuta Makonda anapaishwa na JK na yeye akamwongezea nyota moja tu (tukiangalia vyeo vya jeshi)acha uzuzu..
ni hivi yule wa kawe alipangwa na Magufuli mwenyewe na wajumbe waliambiwa na katibu mkuu wa Ccm kuwa kuna mtu atapita na namba ina nukta ndiyo mumpgie kura ndiyo maana hakujieleza lakini akashangiliwa..
baade baada ya kuona mchezo wao umeshtukiwa na watu wamepiga kelele mtandaoni, jiwe akajifanya amemkata..
umeandika Pumba alafu unajiona umeandika pointi,..
Mwenyekiti UVCCM, Katibu mkuu wizara ya fedha wote watoto wa dadake alafu Katibu tawala Morogoro ni mtoto wake wa kumzaa anaitwa Edna, kwenye kila wizara na sekta nchini alijaza marafiki zake aliosoma nao na aliofanya nao kazi wizara ya miundombinu(ma engineer), TPA ndiyo alikuwepo yule fisadi aliyetumbuliwa juzi, Tanroads yupo Mfugale, etc...
huyo jamaa alikuwa anaipeleka nchi kuwa genge la marafiki/ndugu zake na waimba mapambio yake..
Hivi kwani Tundu Lissu sio mfano mzuri? Si alichukua hatua angalau kusema? Unajua idadi ya risasi zilizomwingia unazijua maumivu yake? Usijifanya hujui dadangu!Wewe ndo haupo serious umejaa chuki tu.Una ushahidi na unayoyaongea?Umechukua hatua gani?
Nchi hii labda aje malaika, lakini Kama ni binadamu Hawa Hawa lazima tu wamseme ,nyimbo hizi zilikuwa na beti hizi hizi kwa JK wakati Yuko madarakani, zikahamia kwa JPM na muda si mrefu tutaziimba kwa SSH, pengine JPM alilijua hili na akaamua Kama alivyoona.acha uzuzu..
ni hivi yule wa kawe alipangwa na Magufuli mwenyewe na wajumbe waliambiwa na katibu mkuu wa Ccm kuwa kuna mtu atapita na namba ina nukta ndiyo mumpgie kura ndiyo maana hakujieleza lakini akashangiliwa..
baade baada ya kuona mchezo wao umeshtukiwa na watu wamepiga kelele mtandaoni, jiwe akajifanya amemkata..
umeandika Pumba alafu unajiona umeandika pointi,..
Mwenyekiti UVCCM, Katibu mkuu wizara ya fedha wote watoto wa dadake alafu Katibu tawala Morogoro ni mtoto wake wa kumzaa anaitwa Edna, kwenye kila wizara na sekta nchini alijaza marafiki zake aliosoma nao na aliofanya nao kazi wizara ya miundombinu(ma engineer), TPA ndiyo alikuwepo yule fisadi aliyetumbuliwa juzi, Tanroads yupo Mfugale, etc...
huyo jamaa alikuwa anaipeleka nchi kuwa genge la marafiki/ndugu zake na waimba mapambio yake..
Iyo jnne hana kibarua tenaKatibu mkuu TAMISEMI hana masihara katika kazi ndo maana WAVIVU NA WAPIGA DILI mnamchafua.
Sawa.iyo jnne hana kibarua tena
Nani sasa katukanwa hapa?Hahah!
Uhuru gani unahitaji kijana? Utawala wa hayati ulikatazwa kuingia jf au social media yoyote?
Kumbuka hamna uhuru usikuwa na mipaka, umtukane mtu useme ni uhuru wa kujieleza.