Msela na Mbabe TAMISEMI walivyoichonganisha awamu ya tano na wananchi na wafanyakazi

Hujuia process ya uhamisho ndiyo maana. Mtu anaambiwa atafute nafasi anatafuta anapata. Kule anapotoka uhamisho unapitishwa na kule anapoenda unapitishwa sasa nenda TAMISEMI ambako wanaidhinisha tu hawa watu kubadilishana mikoa - hapo UNAKWAMA Zaidi ya miaka!
 
Hivi kwani Tundu Lissu sio mfano mzuri? Si alichukua hatua angalau kusema? Unajua idadi ya risasi zilizomwingia unazijua maumivu yake? Usijifanya hujui dadangu!
Kwani Katibu mkuu Tamisemi ndo IGP??Mbna unachanganya mafile mamangu?
 
Mzee unaishi sayari gani wewee, jiwe alitumbua adi marafiki zake na urafiki ukaisha, mtoto wa dada ake aliye teuliwa kule kawe, akala kichwa . Nilikuwa simpendi jiwe lakini baadhi ya uwe da wazimu wake ulikuwa na manufaa kwa nchi hii!!!
Sifa za marehemu, uzi unaonyesha kiburi cha madaraka ya jiwe na wateule wake, ww unasema jiwe ndio alikuwa anaiweza hii nchi! Ama uwezo wa kuelewa mada ni mdogo? Naona unalazimisha kupulizia kinyesi perfume.
 
Nina ushahidi wa 100% jinsi Dotto alivyo kuwa anakwapua pesa!
 

Ww ndio Jafo mwenyewe nini? Sasa kama ni mchapakazi kwanini kaondolewa hiyo wizara?
 
Swala la uhamisho usiliongelee kabisa,kwasababu baada ya kuzuiliwa watu wanahama kwa rushwa hata ambao hawastahili kuhama wanahama muda wowote kwasababu wanauwezo vipi wasio na uwezo wa kuhonga?na serikali ilisema inakuja na mfumo mpya wa kusimamia uhamisho toka 2018 lakini mpaka leo kimya,na ndio maana sasa umegeuka mradi katikati ya serikali inayojiita ya wanyonge sababu imeacha majukumu yake ya msingi.
 
Ww ndio Jafo mwenyewe nini? Sasa kama ni mchapakazi kwanini kaondolewa hiyo wizara?
Hapana. Mkuu, Mimi ni mwananchi kama raia wengine. I'm just good in observing when someone does something.
 
IGP anaingiaje sasa hapa? au ndiye alimpiga risasi Lisu? halafu pia siwezi kuwa mama yako mie. Watoto wangu ninawajua wapo vizuri sana dadangu!
Kwa akili zako za kisoda utakuwa umejifungua jana.
 
Ungekuja tu na ID yako ya zamani ili tutambue pia mtazamo wako before kifo cha yule unayemsema mbabe
 
Ila for sure Mwigulu ni uchuro zaidi kuliko Jafo
 
Hawa watu wa TANROAD waliotawanya kila kona ya serikali wametuharibia nchi tu.Warudi wakajenge mabarabara na madaraja wawaachie masuala ya utawala watu sahihi.
Ile cartel ya TANROADS siyo mchezo
 
Pole sana! Halafu watu wachache watakuja kuhadaa watu kuwa serikali ya jiwe ilikua sikivu na ya wanyonge
 
Nyamhanga hahawahi soma shule/chuo kimoja na jiwe.
 
Watolewe wale waliostaafu wamepewa mikataba ili tupate nafasi ya vijana wapya kuajiliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…