Msela na Mbabe TAMISEMI walivyoichonganisha awamu ya tano na wananchi na wafanyakazi

Force account ni nini?
 
Huyo mwenyewe aliyeandika Jafo amefanikiwa sana TAMISEMI kwa sababu ya kutumia force account ndio atuambia hicho ni kitu gani.
Wahasibu waje watuambie hapa!
 
Hakuna mchemsho makubwa aliofanya kama kumpa mmama uwaziri tamisemi!!
Muda utatuonesha,tutarudi nyuma mmno,mpaka tustuke tunavyoibiwa miradi itakuwa kushnei...
Tarura watazilamba balsa,halmashauri watafaidi mmno. Ilipaswa MTU mtendaji wa hali yajuu akabidhiwe hii wizara yaani kuliko huyu mama bora hata makonda
 
Force account ni nini?

Kulingana na kanuni za mununuzi ya umma, force account inamaanisha ujenzi kwa kutumia chombo chenyewe cha serikali au kwa kutumia wakala wa umma au idara zinazohusika, ambapo hutumia wafanyakazi na vifaa vyake au wafanyakazi walioajiriwa(local fundis)
 
mama fundi sana aendelee kuchuja wengine wapo wengi
 
Faida yake ni katika uchumi ni ipi?

Pesa kuendelea kuzunguka ndani ya serikali haipunguzi mzunguko wa pesa na kuathiri uchumi wa nchi?

Kama kampuni binafsi za wazawa hazitapewa tenda za ujenzi za serikali hii ina mustakbali gani kwa sekta binafsi ya ujenzi? Kuna wakati makampuni ya wazawa yataweza kuwa na msuli wa kupambana kupata tenda dhidi ya makampuni ya wachina yaliyotapakaa kila kona ya nchi?

Kwa nini force account haitumiki kwenye miradi mingi mikubwa tunayoona wachina wakifanya kazi?

Ikiwa serikali inajenga yenyewe na kujikagua yenyewe ubora wa kazi unahakikishwa vipi kwa uhuru na weledi unaostahili?
 

Inaruhusu kuanza kwa haraka kwa ujenzi katika maeneo muhimu ndani ya ratiba

Huokoa wakati na gharama za juu zinazohitajika kwa utayarishaji wa vifurushi vya zabuni na zabuni, tathmini na utoaji wa mikataba nk nk nk
 
Kuna viongozi wa hovyo sana TAMISEMI hata huyo injinia alikua wa hovyo mno, kisa kasoma na jiwe , Jafo ndio kabisaaaaaa anatomba tu hadi ofisini, yaani mtu ana wake wanne lakini bado ananyandua vifanyakazi yaani walivyotolewa hao sawasawa kabisa Ummy ajipange aunde safu yake otherwise atafeli mapemaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…