Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
Mbowe na Chadema wamelitelekeza jimbo la Hai kwa muda mrefu na alifanya kuwadharau watu wa Hai na alikuwa anafanya kampeni kwa siku kumi anapata Ubunge.
Safari hii ana wakati mgumu sana,wananchi hawamtaki na amekuwa akizomewa mara kwa mara, hii ni kwa sababu aliwafanya wajinga, kila akichaguliwa anatorokea Dubai au Chako ni Chako Dodoma kula bata na alikuwa hawajali wananchi kabisa.
OCD wa Hai hajaongea kishabiki, ila amempa ukweli Mbowe kuwa hakubaliki tena na hawezi kushinda.
N:B Huenda laana ya kutafuna michango ya Wabunge na ruzuku imeanza kumtafuna maana anazomewa kila anapofanya mikutano.