Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na OCD Hai amesema ukweli

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na OCD Hai amesema ukweli

Una tatizo katika ubongo wako,ni vyema ukaenda hospitali.Narudia mara ya tatu sasa hivi kuwa OCD kusema ukweli kuwa Mbowe hatashinda siyo tatizo.Tatizo ni kwamba OCD kusema vile ni anavunja sheria za uchaguzi.Ni kwa nini sentensi fupi kama hii inakupa shida kuelewa?Inawezekana vipi mtu mwenye akili ndogo kabisa kama wewe unaanzisha uzi?Yaani unaniweka busy kurudia kitu kimoja kila saa!!
Hayo majibishano kati ya Ocd na Mbowe yanavunja sheria ya Uchaguzi? Kifungu gani weka hapa. Maana kama angesema atawalazimisha kwa bunduki wasichangue Mbowe sawa.

Ila kamwambie wewe hutashinda,hukubaliki.
 
Huyu mgombea wa ccm.umesikia amefanya hata mkutano mmoja...mbowe is household name..he is winning big time.. hawa ni wachagga kabila kinalojielewa na waliosoma kuliko makabila yote Tanzania. There are no idiots
wa kuwa hakuna Idiot Hai ndio maana hatumtaki Mbowe na yeye anajua. Moja ya ishara hatumtaki ni offisi za chadema kugeuzwa kuwa ofisi za CCM.

Hela hana lakini hizo kidogo tunakala lani kura ni kwa Saasisha.

Hawezi kutudharau kama vile analisha nyumba zote Machame, Na jimbo letu wakazi ambao ni wapare ni kama 18% hivi, hatoweza kuwatisha tena safari hii sababu sote tumeungana hatuchagui koti safari. Akwende na madharau yake. Awapelekee watu wake Dar es salaam anako ishi.
 
Mkuu usimuingize Mungu kwenye kwenye upuuzi.
 
Mbowe na Chadema wamelitelekeza jimbo la Hai kwa muda mrefu na alifanya kuwadharau watu wa Hai na alikuwa anafanya kampeni kwa siku kumi anapata Ubunge.

Safari hii ana wakati mgumu sana,wananchi hawamtaki na amekuwa akizomewa mara kwa mara, hii ni kwa sababu aliwafanya wajinga, kila akichaguliwa anatorokea Dubai au Chako ni Chako Dodoma kula bata na alikuwa hawajali wananchi kabisa.

OCD wa Hai hajaongea kishabiki, ila amempa ukweli Mbowe kuwa hakubaliki tena na hawezi kushinda.

N:B Huenda laana ya kutafuna michango ya Wabunge na ruzuku imeanza kumtafuna maana anazomewa kila anapofanya mikutano.
CCM inapigiwa compaign mpaka na ma Afisa Elimu nimeshangaa sana jana
 
Naona ocd wa shinyanga ameenda kuchana bango la magufuli nyumbani kwa mgombea wa chadema na kukimbia halafu akaja na askari ili wamchukuwe mbunge wa chadema lkn watu wamemkomalia

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Hayo majibishano kati ya Ocd na Mbowe yanavunja sheria ya Uchaguzi? Kifungu gani weka hapa. Maana kama angesema atawalazimisha kwa bunduki wasichangue Mbowe sawa.

Ila kamwambie wewe hutashinda,hukubaliki.
Unajielewa kweli?!Kwa nini unahitaji kifungu katika sheria ambayo ipo clear and obvious na kila mtu anajua ipo?Ni sawa na kubishana na mtu juu ya kosa la kuua kisha umwambia kuwa kama kuua ni kosa basi alete kifungu kinachoonyesha kuwa kuua ni kosa!!It is non-sense
 
Mimi nasimama na OCD wa hai,,kaonyesha uzalendo kwelikweli..
 
Back
Top Bottom