Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na OCD Hai amesema ukweli

We mjinga unaona ni sawa OCD kujiingiza kwenye siasa.
 
Wewe ni mbumbumbu!Tatizo siyo kusema uongo wala kusema ukweli.Tatizo ni uvunjifu wa sheria.Unaelewa kuwa polisi ni miongoni mwa taasisi ambazo hazipaswi kuegemea upande wowote katika huu uchaguzi?
 
RPC Arusha mr Shana aliyefariki aliisambaratisha Arusha kwa kujiingiza kwenye siasa. Mkuu wa mkoa ,Toss mkoa,PCCC mkoa,DC na ded Arusha wore waliondolewa. Huko hai nako ugonjwa huu umeanza tunasubiri mwisho wake tuuone
Shana alikuwa kwenye mkutano wa Ccm,huyu amaemuambia kwani we huoni? Huoni huwezi kushinda?
 
We mjinga unaona ni sawa ocd kujiingiza kwenye siasa.
Hajajiingiza kwenye siasa,Mbowe alitakiwa apande gari aondoke kabla ya kuambiwa ukweli. Maana ameleta ubishi kaambiwa huwezi kushinda,hali ya kisiasa ni mbaya.
 
Wewe ni mbumbumbu!Tatizo siyo kusema uongo wala kusema ukweli.Tatizo ni uvunjifu wa sheria.Unaelewa kuwa polisi ni miongoni mwa taasisi ambazo hazipaswi kuegemea upande wowote katika huu uchaguzi?
Kamwbia ukweli,hali ni mbaya hawezi kushinda,watu wanamzomea kila siku
 
Unajifanya kuwa hujaelewa nilichoandika hapo juu au ni kwamba una utindio wa ubongo?Narudia tena,kilicholeta concern kwa watu mbalimbali katika yale mazungumzo siyo suala la OCD kusema ukweli.OCD kusema ukweli siyo tatizo kabisa.Kilicholeta concern katika mazungumzo yale ni suala la OCD kuvunja sheria.Sasa umeelewa?
 
Aliyevunja sheria ni yule aliygoma kupanda gari. Ocd kamwambia huwezi kishinda sababu hakubaliki tena Hai.
 
Una tatizo la utindio wa ubongo au hujaona video?!Kwanza Mbowe hajagoma kupanda gari.Pili OCD alivunja sheria kwa sababu alishindwa kuonyesha kuwa yupo neutral linapokuja suala la CCM vs chadema.
 
RPC Arusha mr Shana aliyefariki aliisambaratisha Arusha kwa kujiingiza kwenye siasa. Mkuu wa mkoa ,Toss mkoa,PCCC mkoa,DC na ded Arusha wore waliondolewa. Huko hai nako ugonjwa huu umeanza tunasubiri mwisho wake tuuone
Tuache ukweli ubaki kuwa kweli Mbowe anazomewa sana huko hai na kuwapa Polisi wakati mgumu sana maana wananchi wanadiriki hata kumsogelea na Polisi wanafanya kazi ya ziada kumlinda.
 
Una tatizo la utindio wa ubongo au hujaona video?!Kwanza Mbowe hajagoma kupanda gari.Pili OCD alivunja sheria kwa sababu alishindwa kuonyesha kuwa yupo neutral linapokuja suala la CCM vs chadema.
Ocd amekuambia yeye ni Ccm? Kama Mbowe hakugoma kupanda gari mbona Ocd amemlazimisha mara mbili?
 
Mbowe na Chadema wamelitelekeza jimbo la Hai kwa muda mrefu na alifanya kuwadharau watu wa Hai na alikuwa anafanya kampeni kwa siku kumi anapata Ubunge.

Safari hii ana wakati mgumu sana,wananchi hawamtaki na amekuwa akizomewa mara kwa mara, hii ni kwa sababu aliwafanya wajinga, kila akichaguliwa anatorokea Dubai au Chako ni Chako Dodoma kula bata na alikuwa hawajali wananchi kabisa.

OCD wa Hai hajaongea kishabiki, ila amempa ukweli Mbowe kuwa hakubaliki tena na hawezi kushinda.

N:B Huenda laana ya kutafuna michango ya Wabunge na ruzuku imeanza kumtafuna maana anazomewa kila anapofanya mikutano.
Yale yale maugoro mnaongeaga....

Keep on smoking crack
 
Nipo machame hapa. Ni ukweli ulio wazi Mbowe anawakati mgumu sana.
Km angestukia mapema asingegombea ili kulinda heshima yake.
 
Mbowe na Chadema wamelitelekeza jimbo la Hai kwa muda mrefu na alifanya kuwadharau watu wa Hai na alikuwa anafanya kampeni kwa siku kumi anapata Ubunge.

Safari hii ana wakati mgumu sana,wananchi hawamtaki na amekuwa akizomewa mara kwa mara, hii ni kwa sababu aliwafanya wajinga, kila akichaguliwa anatorokea Dubai au Chako ni Chako Dodoma kula bata na alikuwa hawajali wananchi kabisa.

OCD wa Hai hajaongea kishabiki, ila amempa ukweli Mbowe kuwa hakubaliki tena na hawezi kushinda.

N:B Huenda laana ya kutafuna michango ya Wabunge na ruzuku imeanza kumtafuna maana anazomewa kila anapofanya mikutano.
Huyu mgombea wa ccm.umesikia amefanya hata mkutano mmoja...mbowe is household name..he is winning big time.. hawa ni wachagga kabila kinalojielewa na waliosoma kuliko makabila yote Tanzania. There are no idiots
 
Nikupe gari ,nikupe nyumba ,nikupe mshahara alafu umtangaze mpinzani awe mshindi[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Kwa mtu anayetafsiri kauli kulingana na wakati. Kauli hii haikuwa na maana inayochukuliwa kipaombele na cdm.

Kifupi, Magu alikuwa anawaambia watumishi wake kuwa kufanya uzembe kazini ilihali kila hitaji mtumishi huyo amepewa, itakuwa ni kumhujumu kisiasa kwani mfanikio yasipopatikana, wapinzani watapata hoja ya kisiasa na hivyo kuleta ushindani mkubwa katika uchaguzi kunakoweza kupelekea chama cha upinzani eneo hili kushinda uchaguzi.

Lakini jamaa zetu wa cdm sijui wanatumia ubongo upi kufikiri maana wamekuja na tafsiri sisisi.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Hii ni kilelelezo na ushahidi tosha kwamba Jeshi la police huwa linatumiwa na watawala kujitwalia madaraka.

Hii clip ni moto mkali mno kwa NEC na CCM.
 
Ocd amekuambia yeye ni Ccm? Kama Mbowe hakugoma kupanda gari mbona Ocd amemlazimisha mara mbili?
OCD hajasema kuwa yeye ni CCM lakini kisheria hapaswi kuwa msemaji wa wananchi.Kitendo cha OCD kudai hadharani kuwa Mbowe hawezi kushinda ni OCD analazimisha kuwa msemaji wa wananchi kitu ambacho ni kinyume na sheria.Kazi ya OCD siyo kusema nomi nani atashinda na ni nani hatashinda.

Mbowe hakugoma kupanda gari ila kuna mambo alihitaji ufafanuzi wake kwanza kutoka kwa OCD kisha ndiyo apande gari.
 
Aliyekuambia Ocd amekuwa msemaji wa wananchi ni nani? Maana hata Ocd amemuuliza,we huoni kuwa huwezi kushinda? Au sababu ameongea mbele ya kamera ndio inakuuma? Kamwambia ukweli una hali mbaya huwezi kushinda.
 
Una tatizo katika ubongo wako,ni vyema ukaenda hospitali.Narudia mara ya tatu sasa hivi kuwa OCD kusema ukweli kuwa Mbowe hatashinda siyo tatizo.Tatizo ni kwamba OCD kusema vile ni anavunja sheria za uchaguzi.Ni kwa nini sentensi fupi kama hii inakupa shida kuelewa?Inawezekana vipi mtu mwenye akili ndogo kabisa kama wewe unaanzisha uzi?!Yaani unaniweka busy kurudia kitu kimoja kila saa!!
 
Mbowe na Chadema wamelitelekeza jimbo la Hai kwa muda mrefu na alifanya kuwadharau watu wa Hai na alikuwa anafanya kampeni kwa siku kumi anapata Ubunge.

Safari hii ana wakati mgumu sana,wananchi hawamtaki na amekuwa akizomewa mara kwa mara, hii ni kwa sababu aliwafanya wajinga, kila akichaguliwa anatorokea Dubai au Chako ni Chako Dodoma kula bata na alikuwa hawajali wananchi kabisa.

OCD wa Hai hajaongea kishabiki, ila amempa ukweli Mbowe kuwa hakubaliki tena na hawezi kushinda.

N:B Huenda laana ya kutafuna michango ya Wabunge na ruzuku imeanza kumtafuna maana anazomewa kila anapofanya mikutano.
duh kiongozi hali ni mbaya sana huku.mikutano kama ya sacos yaan
 
Back
Top Bottom