Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
Hawajifunzi wajinga hawaKuna mmoja alikuwa anatembea na ilani ya chama kabisa lakini sasa alipo, mchwa ndio wanafaidi...
Halafu ni aibu sana kuona vyombo vya usalama wanaongia kwenye kampeni. Tulimuona Mkurugenzi NEC sasa ni OCD tuna subiri tena kuona zaidi ya hao. Na hutasikia karipio toka sehemu yoyote ya utawala. Maana ana ipambania CCM.Ukiona mapolisi yameingia kwenye siasa ujue tunaelekea Dafur.
Moderator futa huu upotoshaji
Tamko halikuwa kisiasa ila ni kumuambia ukweli tu.Ukiona mapolisi yameingia kwenye siasa ujue tunaelekea Dafur.
Tamko halikuwa kisiasa ila ni kumuambia ukweli tu.Ukiona mapolisi yameingia kwenye siasa ujue tunaelekea Dafur.
Hapo ni kumuambia Mbowe wananchi hawakutaki.Japokuwa sio kisiasa kama unavyopotosha.
RPC Arusha mr Shana aliyefariki aliisambaratisha Arusha kwa kujiingiza kwenye siasa. Mkuu wa mkoa ,Toss mkoa,PCCC mkoa,DC na ded Arusha wore waliondolewa. Huko hai nako ugonjwa huu umeanza tunasubiri mwisho wake tuuoneTamko halikuwa kisiasa ila ni kumuambia ukweli tu.
Wananchi wa hai kupitia sandusky la kura ndio wenye jukumu la kumwambia mbowe hatukutaki na Sio OCD wa hai. Tendeni HAKITamko halikuwa kisiasa ila ni kumuambia ukweli tu.
Hapo ni kumuambia Mbowe wananchi hawakutaki.Japokuwa sio kisiasa kama unavyopotosha.