Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
- Thread starter
-
- #41
Hayo majibishano kati ya Ocd na Mbowe yanavunja sheria ya Uchaguzi? Kifungu gani weka hapa. Maana kama angesema atawalazimisha kwa bunduki wasichangue Mbowe sawa.Una tatizo katika ubongo wako,ni vyema ukaenda hospitali.Narudia mara ya tatu sasa hivi kuwa OCD kusema ukweli kuwa Mbowe hatashinda siyo tatizo.Tatizo ni kwamba OCD kusema vile ni anavunja sheria za uchaguzi.Ni kwa nini sentensi fupi kama hii inakupa shida kuelewa?Inawezekana vipi mtu mwenye akili ndogo kabisa kama wewe unaanzisha uzi?Yaani unaniweka busy kurudia kitu kimoja kila saa!!
OCD mwenyewe anaonekana ku panic, siku zote mtu alie panic hawezi kuongea ukweli, anaropoka tu kutafuta namna ya kujiokoa na aibu.Tamko halikuwa kisiasa ila ni kumuambia ukweli tu.
Unajipachika ID za Chadema kutafuta attention ukidhani kuna wajinga utaowadanganya humu, kwa taarifa yako unajidanganya mwenyewe, wewe ni kiazi tu.Kwani haoni hali ya hewa mwenyekiti wetu?
Mbowe anajilinganisha na rais,anataka afanye mkutano popote? Mbowe ndio ameaibikaOCD mwenyewe anaonekana ku panic, siku zote mtu alie panic hawezi kuongea ukweli, anaropoka tu kutafuta namna ya kujiokoa na aibu.
wa kuwa hakuna Idiot Hai ndio maana hatumtaki Mbowe na yeye anajua. Moja ya ishara hatumtaki ni offisi za chadema kugeuzwa kuwa ofisi za CCM.Huyu mgombea wa ccm.umesikia amefanya hata mkutano mmoja...mbowe is household name..he is winning big time.. hawa ni wachagga kabila kinalojielewa na waliosoma kuliko makabila yote Tanzania. There are no idiots
Watachukia vibaraka wake.Jimbo la Hai sio miliki ya Mbowe!!
Acha naye akae benchi Kwanza akili imkae vema!
CCM inapigiwa compaign mpaka na ma Afisa Elimu nimeshangaa sana janaMbowe na Chadema wamelitelekeza jimbo la Hai kwa muda mrefu na alifanya kuwadharau watu wa Hai na alikuwa anafanya kampeni kwa siku kumi anapata Ubunge.
Safari hii ana wakati mgumu sana,wananchi hawamtaki na amekuwa akizomewa mara kwa mara, hii ni kwa sababu aliwafanya wajinga, kila akichaguliwa anatorokea Dubai au Chako ni Chako Dodoma kula bata na alikuwa hawajali wananchi kabisa.
OCD wa Hai hajaongea kishabiki, ila amempa ukweli Mbowe kuwa hakubaliki tena na hawezi kushinda.
N:B Huenda laana ya kutafuna michango ya Wabunge na ruzuku imeanza kumtafuna maana anazomewa kila anapofanya mikutano.
Unajielewa kweli?!Kwa nini unahitaji kifungu katika sheria ambayo ipo clear and obvious na kila mtu anajua ipo?Ni sawa na kubishana na mtu juu ya kosa la kuua kisha umwambia kuwa kama kuua ni kosa basi alete kifungu kinachoonyesha kuwa kuua ni kosa!!It is non-senseHayo majibishano kati ya Ocd na Mbowe yanavunja sheria ya Uchaguzi? Kifungu gani weka hapa. Maana kama angesema atawalazimisha kwa bunduki wasichangue Mbowe sawa.
Ila kamwambie wewe hutashinda,hukubaliki.