Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Naichukia sana CCM mpaka napandwa na wazimu

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Naichukia sana CCM mpaka napandwa na wazimu

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Hata ukiniamsha usiku ukaniuliza nn chanzo cha matatitizo ya kila aina (kiuchumi, kijamii na kisiasa) hapa nchini nitakujibu kuwa chanzo ni CCM.

Hivyo naichukia CCM kwa moyo wangu wote na ninawachukia sana wanaccm kiasi kwamba niko kwenye hatua mbaya sana.

Nikimuona mwanaccm jazba inanipanda na ninaingiwa na shetani wa kumfanyia vurugu.

CCM ni chama chakavu chenye sera mbovu na unafiki uliotopea.
 
Yani unajipa stress kisa siasa a.k.a politics?😂😂😂

Nikuambie tuu ukweli mchungu kwenye siasa, "ALWAYS SAIL WITH TIDE, DONT GO AGAINST IT".
 
Nasoma hiki kitabu kwenye muda wangu wa ziada, miaka mitatu ijayo kama hali itaendelea kuwa hivi naweza nikafanya jambo. Mark my words.

Hit_mancons.jpg
 

Ujenzi wa Daraja la JPM la Busisi umefikia 51% kwa mujibu wa ziara ya Kinana
 
Ushauri wa hovyo, ndio uliotufanya maskini mpaka leo.
Najua unaelewa ninachokisema...

Hata akina Mbowe wenyewe wanaishi ivo...

Ila sisi vidagaa wengi kwa kuwa huwa hatujui how this world issues run, basi tunajikutaga tunaumiiiiiiiiaaa, wakati nyuma ya pazia wenzetu wanagonga glass Ikulu.
 
Yani unajipa stress kisa siasa a.k.a politics?😂😂😂

Nikuambie tuu ukweli mchungu kwenye siasa, "ALWAYS SAIL WITH TIDE, DONT GO AGAINST IT".
Kweli kabisa !! Na hata kama kuna ukweli unataka kuusema huo ukweli utakuponza tu !! Hizo ndio zinazoitwa siasa za Dunia ya tatu !!
 
Back
Top Bottom