Nobunaga
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 1,205
- 5,121
Vijana wajifunze siasa zinavyoenda...Kweli kabisa !! Na hata kama kuna ukweli unataka kuusema huo ukweli utakuponza tu !! Hizo ndio zinazoitwa siasa za Dunia ya tatu !!
Vyama tawala duniani huwa vinahakikisha vinakuwa na mahusiano mazuri na vyama pinzani, hata kama publicly watakosoana lakini nyuma ya pazia wanagonga glass.
Chama tawala kisipofanya hivi basi kitapana ule upinzani wa kwelikwelii, mfano hai ni yaliyomtokea Mwendazake. Kikwete hakuwaga mjinga kuwakaribisha wapinzani ikulu.
Sasa akina sie kajamba nani hatuelewi siasa zinavyoenda tunabaki kukaza shingo zetu for nothing.