Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Naichukia sana CCM mpaka napandwa na wazimu

Hauko peke Yako bwashee,sijawahi na sitaipigia kura ccm katika maisha yangu.Wizi,kulindana,kuvuruga chaguzi,ufisadi uongo,kushindwa kutekeleza sera nzuri za uchumi na sasa hii DOUBLE TAXATION,ni miongoni MWA mambo yanayonifanya nichukie.
Kingine,wakati sisi tunasota na maisha magumu,wao mishahara marupurupu,na pensheni zao hazisemeki.
 
Hata mimi hawa jamaa huwa nawachukia sana kuna muda nawafananisha na freemasons au wanyonya damu

Afu ajabu kuna wanaccm kibao huwa wananipenda na wanapenda mpaka kunipa nyadhifa fulani ili niwe mwanachama ila kwa jinsi ambavyo sikipendi hiki chama acha niishie kuwa na maisha yangu ya kawaida najiona hata nikiingia huko nikapata maisha mazuri sitayafurahia kwasababu ya kuwa upande huo
 
Yani unajipa stress kisa siasa a.k.a politics?😂😂😂

Nikuambie tuu ukweli mchungu kwenye siasa, "ALWAYS SAIL WITH TIDE, DONT GO AGAINST IT".
Sailing with tides is typically political strategy for loosers,what will you say?You're a politician without courage.
Every human being is naturally a politician.
Don't let CCM spoil your Valuable Brain and independent mind,it's fight for The New Constitution so that we go back to our track.Count yourself that you are the agent of change for better Tanganyika and Tanzania.
You are welcome in the fight.
 
Hata ukiniamsha usiku ukaniuliza nn chanzo cha matatitizo ya kila aina (kiuchumi, kijamii na kisiasa) hapa nchini nitakujibu kuwa chanzo ni CCM.

Hivyo naichukia CCM kwa moyo wangu wote na ninawachukia sana wanaccm kiasi kwamba niko kwenye hatua mbaya sana.

Nikimuona mwanaccm jazba inanipa na ninaingiwa na shetani wa kumfanyia vurugu.

CCM ni chama chakavu chenye sera mbovu na unafiki uliotopea.
Hunizidi mimi mkuu. Barikiwa sana

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hata ukiniamsha usiku ukaniuliza nn chanzo cha matatitizo ya kila aina (kiuchumi, kijamii na kisiasa) hapa nchini nitakujibu kuwa chanzo ni CCM.

Hivyo naichukia CCM kwa moyo wangu wote na ninawachukia sana wanaccm kiasi kwamba niko kwenye hatua mbaya sana.

Nikimuona mwanaccm jazba inanipa na ninaingiwa na shetani wa kumfanyia vurugu.

CCM ni chama chakavu chenye sera mbovu na unafiki uliotopea.
Ndio siasa za majitaka hizo.
 
Yani unajipa stress kisa siasa a.k.a politics?[emoji23][emoji23][emoji23]

Nikuambie tuu ukweli mchungu kwenye siasa, "ALWAYS SAIL WITH TIDE, DONT GO AGAINST IT".
Daah avatar yako ya The Gray Man.. Hiyo ndo movie yangu bora kwa 2022 labda kama itatokea nyingine.
 
Mawazo ya watu wasio na uwezo wa kubadili mambo!!

Dunia ingekuwa haina watu wenye kubadili mambo leo hii hata hizi Kompyuta zisingekuwepo.
#Fact.. People who changed the Word are those who sailed against the Tides...
 
Hata ukiniamsha usiku ukaniuliza nn chanzo cha matatitizo ya kila aina (kiuchumi, kijamii na kisiasa) hapa nchini nitakujibu kuwa chanzo ni CCM.

Hivyo naichukia CCM kwa moyo wangu wote na ninawachukia sana wanaccm kiasi kwamba niko kwenye hatua mbaya sana.

Nikimuona mwanaccm jazba inanipanda na ninaingiwa na shetani wa kumfanyia vurugu.

CCM ni chama chakavu chenye sera mbovu na unafiki uliotopea.
Kwa yanayofanya na CCM Kwa Watanzania, CHUKI Yako ni halali, Bado una tiketi ya PEPONI!!!!!
 
Hata ukiniamsha usiku ukaniuliza nn chanzo cha matatitizo ya kila aina (kiuchumi, kijamii na kisiasa) hapa nchini nitakujibu kuwa chanzo ni CCM.

Hivyo naichukia CCM kwa moyo wangu wote na ninawachukia sana wanaccm kiasi kwamba niko kwenye hatua mbaya sana.

Nikimuona mwanaccm jazba inanipanda na ninaingiwa na shetani wa kumfanyia vurugu.

CCM ni chama chakavu chenye sera mbovu na unafiki uliotopea.
Ni kweli lakini
 
CCM ipo na itaendeleaa kuwepo hapa nchini Kama chama Tawala, utake usitake utaendeleaa kuongozwa na CCM maana ndo chama kilichobeba matumaini ya watanzania,
 
Hauko peke yako...tupo tulioikataa toka siku inaasisiwa mwaka 1977 na hadi leo bado hatujaikubali. Adui namba wani wa taifa hili ni CCM, period!
CCM ndio mkombozi wa watanzania na Raia maskini na wanyonge kusini mwa Afrika, CCM ndio kimbilio la wanyonge waliokata Tamaaa
 
Hauko peke Yako bwashee,sijawahi na sitaipigia kura ccm katika maisha yangu.Wizi,kulindana,kuvuruga chaguzi,ufisadi uongo,kushindwa kutekeleza sera nzuri za uchumi na sasa hii DOUBLE TAXATION,ni miongoni MWA mambo yanayonifanya nichukie.
Kingine,wakati sisi tunasota na maisha magumu,wao mishahara marupurupu,na pensheni zao hazisemeki.
Mamillioni ya watanzania wanasubili tu uchaguzi uwe hata kesho ili waipe CCM kura za kishindo Kama sehemu ya kuhitaji utumishi wake uliotukuka uliogusa maisha ya watanzania, watanzania wanasema chini ya mama Samia wanaona namna utendaji kazi wake ulivyogusa maisha ya watanzania wanyonge
 
Back
Top Bottom