Ushauri wa hovyo, ndio uliotufanya maskini mpaka leo.Yani unajipa stress kisa siasa a.k.a politics?[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikuambie tuu ukweli mchungu kwenye siasa, "ALWAYS SAIL WITH TIDE, DONT GO AGAINST IT".
Najua unaelewa ninachokisema...Ushauri wa hovyo, ndio uliotufanya maskini mpaka leo.
Kweli kabisa !! Na hata kama kuna ukweli unataka kuusema huo ukweli utakuponza tu !! Hizo ndio zinazoitwa siasa za Dunia ya tatu !!Yani unajipa stress kisa siasa a.k.a politics?πππ
Nikuambie tuu ukweli mchungu kwenye siasa, "ALWAYS SAIL WITH TIDE, DONT GO AGAINST IT".
Hauko peke yako...tupo tulioikataa toka siku inaasisiwa mwaka 1977 na hadi leo bado hatujaikubali. Adui namba wani wa taifa hili ni CCM, period!Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Naichukia sana CCM mpaka napandwa na wazimu
Usije tu "ukavaa yale makitu" waarabu wanajifunga kiunoni wanaenda ktk mikusanyo kufanya "action"πHivyo naichukia ccm kwa moyo wangu wote na ninawachukia sana wanaccm kiasi kwamba niko kwenye hatua mbaya sana.
Tuko hapa tulipo kutokana na akili za watu kama wewe!Yani unajipa stress kisa siasa a.k.a politics?πππ
Nikuambie tuu ukweli mchungu kwenye siasa, "ALWAYS SAIL WITH TIDE, DONT GO AGAINST IT".
Kuna nn tenaTuko hapa tulipo kutokana na akili za watu kama wewe!
"Kheri kufa ukiwa umesimama kuliko kuishi ukiwa umepiga magoti"
πππ nakaziaHata ukiniamsha usiku ukaniuliza nn chanzo cha matatitizo ya kila aina (kiuchumi, kijamii na kisiasa) hapa nchini nitakujibu kuwa chanzo nCCM...
Mawazo ya watu wasio na uwezo wa kubadili mambo!!Yani unajipa stress kisa siasa a.k.a politics?πππ
Nikuambie tuu ukweli mchungu kwenye siasa, "ALWAYS SAIL WITH TIDE, DONT GO AGAINST IT".
Uko sahihi mkuu!
Ila usisahau hili, JPM ndiye amekuwa rais bora aliyeichukia ccm na majizi yote huko,
Huyo aliiba uchaguzi halafu akawagawia na wenzakeUko sahihi mkuu!
Ila usisahau hili, JPM ndiye amekuwa rais bora aliyeichukia ccm na majizi yote huko,