Mwami Ntale
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 855
- 2,264
Sailing with tides is typically political strategy for loosers,what will you say?You're a politician without courage.Yani unajipa stress kisa siasa a.k.a politics?😂😂😂
Nikuambie tuu ukweli mchungu kwenye siasa, "ALWAYS SAIL WITH TIDE, DONT GO AGAINST IT".
Hunizidi mimi mkuu. Barikiwa sanaHata ukiniamsha usiku ukaniuliza nn chanzo cha matatitizo ya kila aina (kiuchumi, kijamii na kisiasa) hapa nchini nitakujibu kuwa chanzo ni CCM.
Hivyo naichukia CCM kwa moyo wangu wote na ninawachukia sana wanaccm kiasi kwamba niko kwenye hatua mbaya sana.
Nikimuona mwanaccm jazba inanipa na ninaingiwa na shetani wa kumfanyia vurugu.
CCM ni chama chakavu chenye sera mbovu na unafiki uliotopea.
Ndio siasa za majitaka hizo.Hata ukiniamsha usiku ukaniuliza nn chanzo cha matatitizo ya kila aina (kiuchumi, kijamii na kisiasa) hapa nchini nitakujibu kuwa chanzo ni CCM.
Hivyo naichukia CCM kwa moyo wangu wote na ninawachukia sana wanaccm kiasi kwamba niko kwenye hatua mbaya sana.
Nikimuona mwanaccm jazba inanipa na ninaingiwa na shetani wa kumfanyia vurugu.
CCM ni chama chakavu chenye sera mbovu na unafiki uliotopea.
Tarehe 17 03 2021 itabaki kuwa siku ya kukumbukwa kama siku ya ukombozi. Yaani acheni Mungu aitwe Mungu.Alichukia CCM kisha akapora uchaguzi ili CCM watamgazwe kwa shuruti?!
Daah avatar yako ya The Gray Man.. Hiyo ndo movie yangu bora kwa 2022 labda kama itatokea nyingine.Yani unajipa stress kisa siasa a.k.a politics?[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikuambie tuu ukweli mchungu kwenye siasa, "ALWAYS SAIL WITH TIDE, DONT GO AGAINST IT".
Amen
Kuna haja ya kuifanya siku hii kuwa siku ya sherehe ya kitaifaTarehe 17 03 2021 itabaki kuwa siku ya kukumbukwa kama siku ya ukombozi. Yaani acheni Mungu aitwe Mungu.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
#Fact.. People who changed the Word are those who sailed against the Tides...Mawazo ya watu wasio na uwezo wa kubadili mambo!!
Dunia ingekuwa haina watu wenye kubadili mambo leo hii hata hizi Kompyuta zisingekuwepo.
Kwa yanayofanya na CCM Kwa Watanzania, CHUKI Yako ni halali, Bado una tiketi ya PEPONI!!!!!Hata ukiniamsha usiku ukaniuliza nn chanzo cha matatitizo ya kila aina (kiuchumi, kijamii na kisiasa) hapa nchini nitakujibu kuwa chanzo ni CCM.
Hivyo naichukia CCM kwa moyo wangu wote na ninawachukia sana wanaccm kiasi kwamba niko kwenye hatua mbaya sana.
Nikimuona mwanaccm jazba inanipanda na ninaingiwa na shetani wa kumfanyia vurugu.
CCM ni chama chakavu chenye sera mbovu na unafiki uliotopea.
Amina.Kwa yanayofanya na CCM Kwa Watanzania, CHUKI Yako ni halali, Bado una tiketi ya PEPONI!!!!!
Ni kweli lakiniHata ukiniamsha usiku ukaniuliza nn chanzo cha matatitizo ya kila aina (kiuchumi, kijamii na kisiasa) hapa nchini nitakujibu kuwa chanzo ni CCM.
Hivyo naichukia CCM kwa moyo wangu wote na ninawachukia sana wanaccm kiasi kwamba niko kwenye hatua mbaya sana.
Nikimuona mwanaccm jazba inanipanda na ninaingiwa na shetani wa kumfanyia vurugu.
CCM ni chama chakavu chenye sera mbovu na unafiki uliotopea.
Kuna watu wa ajabu sana. Anataka kusema Jpm rais bora?🤣🤣Huyo aliiba uchaguzi halafu akawagawia na wenzake
Hao wana mawazo mgando.Mawazo ya watu wasio na uwezo wa kubadili mambo!!
Dunia ingekuwa haina watu wenye kubadili mambo leo hii hata hizi Kompyuta zisingekuwepo.
CCM ndio mkombozi wa watanzania na Raia maskini na wanyonge kusini mwa Afrika, CCM ndio kimbilio la wanyonge waliokata TamaaaHauko peke yako...tupo tulioikataa toka siku inaasisiwa mwaka 1977 na hadi leo bado hatujaikubali. Adui namba wani wa taifa hili ni CCM, period!
Mamillioni ya watanzania wanasubili tu uchaguzi uwe hata kesho ili waipe CCM kura za kishindo Kama sehemu ya kuhitaji utumishi wake uliotukuka uliogusa maisha ya watanzania, watanzania wanasema chini ya mama Samia wanaona namna utendaji kazi wake ulivyogusa maisha ya watanzania wanyongeHauko peke Yako bwashee,sijawahi na sitaipigia kura ccm katika maisha yangu.Wizi,kulindana,kuvuruga chaguzi,ufisadi uongo,kushindwa kutekeleza sera nzuri za uchumi na sasa hii DOUBLE TAXATION,ni miongoni MWA mambo yanayonifanya nichukie.
Kingine,wakati sisi tunasota na maisha magumu,wao mishahara marupurupu,na pensheni zao hazisemeki.